asante nimekupataChangamoto kupata mzigo ndo kwenye shida maana soko lipo viwanda baadhi wananunua hakuna shida anza na msingi wa at least tani moja sawa na 1,000,000 frame, leseni na ununuaji wa mzigo.
Nimejaribu kupitapita kwa watu wanaofanya hii biashara huwa nawaonaga vijana wakileta mzigo kwenye matololi,sasa huwa najiuliza hawa vijana huwa wanawapata wapiChangamoto kupata mzigo ndo kwenye shida maana soko lipo viwanda baadhi wananunua hakuna shida anza na msingi wa at least tani moja sawa na 1,000,000 frame, leseni na ununuaji wa mzigo.
Hapo ndo changamoto ilipo kukusanya mzigo wanatumia njia mbili kuwapata ya kwanza uwatafute na uwape msingi let say 30,000 kila mmoja wanapita mtaani kwa baskeli au toroli wananunua wanakuletea wewe njia ya pili pandisha bei ya kununua chuma cha kavu hapa angalia mpinzani wako wakijua na kupata habari unanunua kwa bei mzuri utashangaa watu wanatokea wanakuletea mzigo ulipo. Kikubwa uwe na ofisi ama frem wanakuletea wenyewe ilimradi ofisi iwe inaonekana.Nimejaribu kupitapita kwa watu wanaofanya hii biashara huwa nawaonaga vijana wakileta mzigo kwenye matololi,sasa huwa najiuliza hawa vijana huwa wanawapata wapi
Mkuu asante sana kwa muongozo wako.Hapo ndo changamoto ilipo kukusanya mzigo wanatumia njia mbili kuwapata ya kwanza uwatafute na uwape msingi let say 30,000 kila mmoja wanapita mtaani kwa baskeli au toroli wananunua wanakuletea wewe njia ya pili pandisha bei ya kununua chuma cha kavu hapa angalia mpinzani wako wakijua na kupata habari unanunua kwa bei mzuri utashangaa watu wanatokea wanakuletea mzigo ulipo. Kikubwa uwe na ofisi ama frem wanakuletea wenyewe ilimradi ofisi iwe inaonekana.
Umemdanganya mwenzio aiseeee capital 1mil kweli Kwa scrapers ???????Changamoto kupata mzigo ndo kwenye shida maana soko lipo viwanda baadhi wananunua hakuna shida anza na msingi wa at least tani moja sawa na 1,000,000 frame, leseni na ununuaji wa mzigo.
Mkuu je parle ukiishia hapo tu utakuwa haujanisaidia au kutusaidia yeye ameeleza anachokijua na ww niambie unachokijua na ndio tupo hapa jf kujuzana kwa kila mtu anachokijua.natanguliza shukrani zng kwako mkuuUmemdanganya mwenzio aiseeee capital 1mil kweli Kwa scrapers ???????
Sasa mbona hujaelezea anatakiwa awe na bei gani usimkatishe tamaa mwenzako bila ya maelezoUmemdanganya mwenzio aiseeee capital 1mil kweli Kwa scrapers ???????
Sasa ww biashara hiyo umeanza kuifanya lini mpaka Una mwambia mil 1 ?? Mm nishaifanya hiyo biashara na nimezungukwa na watu wanafanya mpaka sasa .sema nimemwambia jamaa anitafute nimpe maelezo kazingua Ila huwezi kuanza Kwa mil 1Sasa mbona hujaelezea anatakiwa awe na bei gani usimkatishe tamaa mwenzako bila ya maelezo
mkuu sijazingua 0688738971 whatssapSasa ww biashara hiyo umeanza kuifanya lini mpaka Una mwambia mil 1 ?? Mm nishaifanya hiyo biashara na nimezungukwa na watu wanafanya mpaka sasa .sema nimemwambia jamaa anitafute nimpe maelezo kazingua Ila huwezi kuanza Kwa mil 1