Msaada: Biashara ya chuma chakavu...

Msaada: Biashara ya chuma chakavu...

hmkuwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
361
Reaction score
265
Amani kwenu wana JF

Mwenye uzoefu ama mwenye taarifa sahihi juu ya hii biashara

* mtaji kiasi kwa kima cha chini mtu anaweza anza?

* changamoto za hii biashara
* soko lake ni wapi

Natanguliza shukran zng za dhati huku nikiamini hapa jf ni sehemu ambayo naweza kupata maelezo kamili
 
Changamoto kupata mzigo ndo kwenye shida maana soko lipo viwanda baadhi wananunua hakuna shida anza na msingi wa at least tani moja sawa na 1,000,000 frame, leseni na ununuaji wa mzigo.
 
asante nimekupata
 
Nimejaribu kupitapita kwa watu wanaofanya hii biashara huwa nawaonaga vijana wakileta mzigo kwenye matololi,sasa huwa najiuliza hawa vijana huwa wanawapata wapi
 
Hapo ndo changamoto ilipo kukusanya mzigo wanatumia njia mbili kuwapata ya kwanza uwatafute na uwape msingi let say 30,000 kila mmoja wanapita mtaani kwa baskeli au toroli wananunua wanakuletea wewe njia ya pili pandisha bei ya kununua chuma cha kavu hapa angalia mpinzani wako wakijua na kupata habari unanunua kwa bei mzuri utashangaa watu wanatokea wanakuletea mzigo ulipo. Kikubwa uwe na ofisi ama frem wanakuletea wenyewe ilimradi ofisi iwe inaonekana.
 
Mkuu asante sana kwa muongozo wako.
 
Changamoto kupata mzigo ndo kwenye shida maana soko lipo viwanda baadhi wananunua hakuna shida anza na msingi wa at least tani moja sawa na 1,000,000 frame, leseni na ununuaji wa mzigo.
Umemdanganya mwenzio aiseeee capital 1mil kweli Kwa scrapers ???????
 
Mkuu je parle ukiishia hapo tu utakuwa haujanisaidia au kutusaidia yeye ameeleza anachokijua na ww niambie unachokijua na ndio tupo hapa jf kujuzana kwa kila mtu anachokijua.natanguliza shukrani zng kwako mkuu
 
Sasa mbona hujaelezea anatakiwa awe na bei gani usimkatishe tamaa mwenzako bila ya maelezo
Sasa ww biashara hiyo umeanza kuifanya lini mpaka Una mwambia mil 1 ?? Mm nishaifanya hiyo biashara na nimezungukwa na watu wanafanya mpaka sasa .sema nimemwambia jamaa anitafute nimpe maelezo kazingua Ila huwezi kuanza Kwa mil 1
 
mkuu sijazingua 0688738971 whatssap
 
Back
Top Bottom