jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Wakuu habari zenu,
Naomba kufahamisha jinsi ya kua broker wa biashara hii ya dhahabu ghafi hasa kwa maeneo ya chunya.
Ningependa kujua nia angalau mtaji kiasi gani mtu unaweza kuanza nao.
Mzigo unapatikana wapi na kwa njia gani.
Masoko yake makubwa ni wapi.
Je hali ya usalama kwa maana (kuibiwa au kutapeliwa dhahabu feki) ipoje.
Risk kwenye biashara hii ipoje?
Makazi kwa maeneo ya machimbo yakoje.
Kwa manufaa ya wengi hapa JF ningewaomba wajuzi wa biashara hii wafunguke zaidi.