Mkuu rekebisha heading haswa neno upcountry maana halina maana ya unachokikusudia ndani. Upcountry sio nje ya nchi bali ndani ya nchi lakini nje ya mji/interior.Hi there, GT
Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba.
Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii naomba anisaidie kwa kuniambia changamoto zake, mtaji, soko na kodi na zinginezo.
Natanguliza shukrani
Bora wangekuwa wanacharge mkuu, wanakadiria unaeza ambiwa lipa 20m wkt we mzigo wako pamoja na faida havifiki hata 5m!!Hivi hao tiaraei huwa wanacharge vipi mkuu?!
Ahsante mkuu kwa marekebisho hayo!Mkuu rekebisha heading haswa neno upcountry maana halina maana ya unachokikusudia ndani. Upcountry sio nje ya nchi bali ndani ya nchi lakini nje ya mji/interior.
Pia swala la msingi kujua walengwa wa biashara yako ni kina nani na ni bidhaa gani unalenga kuagiza. Maana kuna swala la ushuru kwa baadhi ya mizigo na pia swala la usafirishaji ambalo kwa namna moja ama nyingine huzingatia uzito wa kitu.
Usishangae gharama ya kusafirisha mzigo ikawa ghali kuliko fedha uliyolipa kununulia mzigo wenyewe.
Khaa aisee.Bora wangekuwa wanacharge mkuu, wanakadiria unaeza ambiwa lipa 20m wkt we mzigo wako pamoja na faida havifiki hata 5m!!
Cha kufanya utaususa urudi kulima matikiti afu wao wataupiga mnada kwa 1m
Asilimia kubwa ya kipato changu natengeneza mtandaoni.Mkuu upo vizuri.
Changamoto no mizigo kutokufika kwa wakati ila no biashara nzuri yenye faida.Ahsante mkuu kwa marekebisho hayo!
Binafsi nataka niweze kununua vitu vidogo vidogo kama vile saa za mkononi/ ukutani, simu smartphone nk.
Sijui pakuanzia mkuu, na ndio ninaomba ushauri huo!!
Mkuu ninahitaji sana elimu juu ya hili sijui utanisaidiajeAsilimia kubwa ya kipato changu natengeneza mtandaoni.
Ninaweza msaidia mtu yeyote kuanza kutengeneza hela mtandaoni.
Watu wengi wanadhani haiwezekani lakini inawezekana sana tu.
Tatizo la watu wengi hawana business strategy.
Na ukiwaambia haya wanafikiri ni mambo yakuchukulia juujuu.
Wanarukia business bila kuwa na guidance mwisho wanapoteza muda na fedha kwa makosa madogo wangeweza kuepuka kama wangepata mtu kuwa mentor.
Binafsi napenda kusaidia wajasiriamali wapya wa mtandaoni. Ninapofundisha ndivyo ninajifunza zaidi.
Nitumie ujumbe kwenye email yangu tutaweza kuwasiliana vizuri.Mkuu ninahitaji sana elimu juu ya hili sijui utanisaidiaje
Ndiyo ninaweza kukusaidia kujua basics za kufanya biashara mtandaoni.Kwan we siyo mentor mzur kwa hizo shughuli
If its Free?! why don't you consider majority needy?Ndiyo ninaweza kukusaidia kujua basics za kufanya biashara mtandaoni.
Tena kwa kukufunza basics you won't pay a dime.
Kama utahitaji kwenda deep (which I strongly advice). We can make a deal. You need to PAY for my service.
Nitumie ujumbe kwenye email yangu binafsi wiserastarising@gmail.com
Nitumie ujumbe kwenye email yangu tutaweza kuwasiliana vizuri.
wiserastarising@gmail.com
Nimeona ninavyowasaidia watu ndivyo najikuta naelewa zaidi kuhusu njia za kutengeneza kipato mtandaoni.
Nadhani kila mmoja anaweza hili.
Naweza nikakuonyesha vyanzo vya kutengeneza pocket money bila kuanza na mtaji wowote.
Yaani you don't spend a dime.
Lakini site za namna hii japo ni LEGITIMATE lakini wanalipa hela ndogo sana na hiyo inasabaisha watu wafanye kazi only few weeks nakukimbia.
I know some tricks that may help you to earn more. $10 - 30 a day is very realistic. You can hit this target easily.
Muhimu Ni kufuata kila nitakachokueleza na kuwa mvumilivu kwa miezi michache.
Pia kumbuka you spend only few minutes everyday. And you don't pay a dime to join. Kwahiyo kusubiri miezi kadhaa account yako ikuwe na kuanzia hapo uenjoy mafanikio yako hiyo inashida gani?
Well, nilitaka kuongea hayo kwa beginners.
Wale ambao hawajawahi tengeneza hela yoyote mtandaoni.
Hii ni idea ndogo tu ya kukuonyesha inawezekana.
Hapa sijazingumzia lolote kuhusu ecommerce, drop shipping na freelance platforms kutipatia kipato.
Mkuu Massawe nimechelewa kidogo kujibu nilikuwa na majukumu mengine.Thanks sana mkuu mwelewa
Nina swali naomba unisaidie
Ni kwa namna gani ninaweza kufanyia matangazo bidhaa zilizopo kwenye store yangu?
Vipi kuhusu malipo ya hayo matangazo
Upcountry ni sawa sawa na kusema bara,sasa "kuagiza vitu kutoka bara na kuviuza hapa nchini"hiki kichwa cha habari,hakija kaa sawaHi there, GT
Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba.
Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii naomba anisaidie kwa kuniambia changamoto zake, mtaji, soko na kodi na zinginezo.
Natanguliza shukrani
Ni kweli mkuu, ninakiri hilo kosa!Upcountry ni sawa sawa na kusema bara,sasa "kuagiza vitu kutoka bara na kuviuza hapa nchini"hiki kichwa cha habari,hakija kaa sawa
Mkuu Mwelewa, niendelee kukushukuru sana kwa elimu hii inayotunufaisha wengi hapa. Japo binafsi ninakuwa slow sana, lakini tafadhari naomba tuvumiliane hivyohivyo!Mkuu Massawe nimechelewa kidogo kujibu nilikuwa na majukumu mengine.
Ok ngoja nikujibu.
Kwanza kabisa iliuweze kutangaza ecommerce store yako Facebook inabidi ufungue Business Page na kuiunganisha na store yako.
Utaona option ya Business Page ukifungua Facebook.com. Inaonekana chini kabisa ya website ya Facebook.
Uki-click utapelekwa moja kwa moja kuchagua category ya business yako.
Chagua option ya Brand or Product.
Hii ni sahihi kwasababu ina features nyingi za kukusaidia kufanya matangazo yako kulenga wateja unaowataka.
Facebook ni POWERFUL sana.
Inauwezo wakufikia zaidi ya mamilioni kila siku.
Kwahiyo ni chaguo la kwanza kwa newbies kutangaza product wanazouza kwenye store zao.
Ukimaliza hayo basi unaenda next step yakutengeneza Ad.
Unachagua audience unayoitaka, location ya audience na kadhalika.
Hapa kuna mambo muhimu yakujifunza ili kutengeneza mfumo wakukuletea wateja kiurahisi. Hususani kama bidhaa unayouza watu wengine wanauza.
Ngoja niishie hapa kwa sasa.
Tutakuwa tunaendelea taratibu.