Msaada: Biashara ya kuagiza bidhaa Upcountry na kuziuza hapa nchini

mpatto

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
766
Reaction score
1,031
Hi there, GT

Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba.

Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii naomba anisaidie kwa kuniambia changamoto zake, mtaji, soko na kodi na zinginezo.

Natanguliza shukrani
 
Mkuu umeamua kitu kizuri sana na utafanikiwa sana tu ila jiandae kwa kizingiti cha Tiaraei! Ni zaidi ya kikwazo
 
Hi there, GT

Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba.

Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii naomba anisaidie kwa kuniambia changamoto zake, mtaji, soko na kodi na zinginezo.

Natanguliza shukrani
Mkuu rekebisha heading haswa neno upcountry maana halina maana ya unachokikusudia ndani. Upcountry sio nje ya nchi bali ndani ya nchi lakini nje ya mji/interior.

Pia swala la msingi kujua walengwa wa biashara yako ni kina nani na ni bidhaa gani unalenga kuagiza. Maana kuna swala la ushuru kwa baadhi ya mizigo na pia swala la usafirishaji ambalo kwa namna moja ama nyingine huzingatia uzito wa kitu.

Usishangae gharama ya kusafirisha mzigo ikawa ghali kuliko fedha uliyolipa kununulia mzigo wenyewe.
 
Ahsante mkuu kwa marekebisho hayo!

Binafsi nataka niweze kununua vitu vidogo vidogo kama vile saa za mkononi/ ukutani, simu smartphone nk.

Sijui pakuanzia mkuu, na ndio ninaomba ushauri huo!!
 
Bora wangekuwa wanacharge mkuu, wanakadiria unaeza ambiwa lipa 20m wkt we mzigo wako pamoja na faida havifiki hata 5m!!
Cha kufanya utaususa urudi kulima matikiti afu wao wataupiga mnada kwa 1m
Khaa aisee.

Hivi ndio sheria zinasema hivyo au tu ni upigaji?
 
Mkuu upo vizuri.
Asilimia kubwa ya kipato changu natengeneza mtandaoni.

Ninaweza msaidia mtu yeyote kujifunza.

Watu wengi wanadhani haiwezekani lakini inawezekana sana tu.

Tatizo la watu wengi hawana business strategy.

Na ukiwaambia haya wanafikiri ni mambo yakuchukulia juujuu.

Wanarukia business bila kuwa na guidance mwisho wanapoteza muda na fedha kwa makosa madogo wangeweza kuepuka kama wangepata mtu kuwa mentor.

Binafsi napenda kusaidia wajasiriamali wapya wa mtandaoni. Ninapofundisha ndivyo ninajifunza zaidi.
 
Ahsante mkuu kwa marekebisho hayo!

Binafsi nataka niweze kununua vitu vidogo vidogo kama vile saa za mkononi/ ukutani, simu smartphone nk.

Sijui pakuanzia mkuu, na ndio ninaomba ushauri huo!!
Changamoto no mizigo kutokufika kwa wakati ila no biashara nzuri yenye faida.
 
Asilimia kubwa ya kipato changu natengeneza mtandaoni.

Ninaweza msaidia mtu yeyote kuanza kutengeneza hela mtandaoni.

Watu wengi wanadhani haiwezekani lakini inawezekana sana tu.

Tatizo la watu wengi hawana business strategy.

Na ukiwaambia haya wanafikiri ni mambo yakuchukulia juujuu.

Wanarukia business bila kuwa na guidance mwisho wanapoteza muda na fedha kwa makosa madogo wangeweza kuepuka kama wangepata mtu kuwa mentor.

Binafsi napenda kusaidia wajasiriamali wapya wa mtandaoni. Ninapofundisha ndivyo ninajifunza zaidi.
Mkuu ninahitaji sana elimu juu ya hili sijui utanisaidiaje
 
Nitumie ujumbe kwenye email yangu tutaweza kuwasiliana vizuri.

wiserastarising@gmail.com

Nimeona ninavyowasaidia watu ndivyo najikuta naelewa zaidi kuhusu njia za kutengeneza kipato mtandaoni.

Nadhani kila mmoja anaweza hili.

Naweza nikakuonyesha vyanzo vya kutengeneza pocket money bila kuanza na mtaji wowote.

Yaani you don't spend a dime.

Lakini site za namna hii japo ni LEGITIMATE lakini wanalipa hela ndogo sana na hiyo inasabaisha watu wafanye kazi only few weeks nakukimbia.

I know some tricks that may help you to earn more. $10 - 30 a day is very realistic. You can hit this target easily.

Muhimu Ni kufuata kila nitakachokueleza na kuwa mvumilivu kwa miezi michache.

Pia kumbuka you spend only few minutes everyday. And you don't pay a dime to join. Kwahiyo kusubiri miezi kadhaa account yako ikuwe na kuanzia hapo uenjoy mafanikio yako hiyo inashida gani?

Well, nilitaka kuongea hayo kwa beginners.

Wale ambao hawajawahi tengeneza hela yoyote mtandaoni.

Hii ni idea ndogo tu ya kukuonyesha inawezekana.

Hapa sijazingumzia lolote kuhusu ecommerce, drop shipping na freelance platforms kutipatia kipato.
 
Kwan we siyo mentor mzur kwa hizo shughuli
Ndiyo ninaweza kukusaidia kujua basics za kufanya biashara mtandaoni.

Tena kwa kukufunza basics you won't pay a dime.

Kama utahitaji kwenda deep (which I strongly advice). We can make a deal. You need to PAY for my service.

Nitumie ujumbe kwenye email yangu binafsi wiserastarising@gmail.com
 
If its Free?! why don't you consider majority needy?
Mytake. Bring up the contents, the interested for a deep knowledge will acknowledge yo service and deal i believe will be done. Thankyou!
 
Nitumie ujumbe kwenye email yangu tutaweza kuwasiliana vizuri.

wiserastarising@gmail.com

Nimeona ninavyowasaidia watu ndivyo najikuta naelewa zaidi kuhusu njia za kutengeneza kipato mtandaoni.

Nadhani kila mmoja anaweza hili.

Naweza nikakuonyesha vyanzo vya kutengeneza pocket money bila kuanza na mtaji wowote.

Yaani you don't spend a dime.

Lakini site za namna hii japo ni LEGITIMATE lakini wanalipa hela ndogo sana na hiyo inasabaisha watu wafanye kazi only few weeks nakukimbia.

I know some tricks that may help you to earn more. $10 - 30 a day is very realistic. You can hit this target easily.

Muhimu Ni kufuata kila nitakachokueleza na kuwa mvumilivu kwa miezi michache.

Pia kumbuka you spend only few minutes everyday. And you don't pay a dime to join. Kwahiyo kusubiri miezi kadhaa account yako ikuwe na kuanzia hapo uenjoy mafanikio yako hiyo inashida gani?

Well, nilitaka kuongea hayo kwa beginners.

Wale ambao hawajawahi tengeneza hela yoyote mtandaoni.

Hii ni idea ndogo tu ya kukuonyesha inawezekana.

Hapa sijazingumzia lolote kuhusu ecommerce, drop shipping na freelance platforms kutipatia kipato.

Mkuu unaweza kuwa na physical class kwa tunaohitaji jifunza.
 
Thanks sana mkuu mwelewa
Nina swali naomba unisaidie
Ni kwa namna gani ninaweza kufanyia matangazo bidhaa zilizopo kwenye store yangu?
Vipi kuhusu malipo ya hayo matangazo
Mkuu Massawe nimechelewa kidogo kujibu nilikuwa na majukumu mengine.

Ok ngoja nikujibu.

Kwanza kabisa iliuweze kutangaza ecommerce store yako Facebook inabidi ufungue Business Page na kuiunganisha na store yako.

Utaona option ya Business Page ukifungua Facebook.com. Inaonekana chini kabisa ya website ya Facebook.

Uki-click utapelekwa moja kwa moja kuchagua category ya business yako.

Chagua option ya Brand or Product.

Hii ni sahihi kwasababu ina features nyingi za kukusaidia kufanya matangazo yako kulenga wateja unaowataka.

Facebook ni POWERFUL sana.

Inauwezo wakufikia zaidi ya mamilioni kila siku.

Kwahiyo ni chaguo la kwanza kwa newbies kutangaza product wanazouza kwenye store zao.

Ukimaliza hayo basi unaenda next step yakutengeneza Ad.

Unachagua audience unayoitaka, location ya audience na kadhalika.

Hapa kuna mambo muhimu yakujifunza ili kutengeneza mfumo wakukuletea wateja kiurahisi. Hususani kama bidhaa unayouza watu wengine wanauza.

Ngoja niishie hapa kwa sasa.

Tutakuwa tunaendelea taratibu.
 
Attachments

  • Facebook_Ecommerce_Shopify_Online_Store_Builder_Blog_1_large.jpg
    Facebook_Ecommerce_Shopify_Online_Store_Builder_Blog_1_large.jpg
    11.2 KB · Views: 37
  • Facebook_Ecommerce_Shopify_Online_Store_Builder_Blog_1_large.jpg
    Facebook_Ecommerce_Shopify_Online_Store_Builder_Blog_1_large.jpg
    11.2 KB · Views: 39
  • Ecommerce_Shopify_Online_Store_Builder_Blog2_large.jpg
    Ecommerce_Shopify_Online_Store_Builder_Blog2_large.jpg
    10.4 KB · Views: 38
Hi there, GT

Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba.

Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii naomba anisaidie kwa kuniambia changamoto zake, mtaji, soko na kodi na zinginezo.

Natanguliza shukrani
Upcountry ni sawa sawa na kusema bara,sasa "kuagiza vitu kutoka bara na kuviuza hapa nchini"hiki kichwa cha habari,hakija kaa sawa
 
Ni kweli mkuu, ninakiri hilo kosa!

Ila ninashukuru sana wadau wengi wameelewa hasa nilichokikusudia.

Nilichokimaanisha hapa ni kununua bidhaa kutoka nchi za nje hususani ulaya na marekani kwa kupitia online markets na kuziuza hapa nchini!!
 
Mkuu Massawe nimechelewa kidogo kujibu nilikuwa na majukumu mengine.

Ok ngoja nikujibu.

Kwanza kabisa iliuweze kutangaza ecommerce store yako Facebook inabidi ufungue Business Page na kuiunganisha na store yako.

Utaona option ya Business Page ukifungua Facebook.com. Inaonekana chini kabisa ya website ya Facebook.

Uki-click utapelekwa moja kwa moja kuchagua category ya business yako.

Chagua option ya Brand or Product.

Hii ni sahihi kwasababu ina features nyingi za kukusaidia kufanya matangazo yako kulenga wateja unaowataka.

Facebook ni POWERFUL sana.

Inauwezo wakufikia zaidi ya mamilioni kila siku.

Kwahiyo ni chaguo la kwanza kwa newbies kutangaza product wanazouza kwenye store zao.

Ukimaliza hayo basi unaenda next step yakutengeneza Ad.

Unachagua audience unayoitaka, location ya audience na kadhalika.

Hapa kuna mambo muhimu yakujifunza ili kutengeneza mfumo wakukuletea wateja kiurahisi. Hususani kama bidhaa unayouza watu wengine wanauza.

Ngoja niishie hapa kwa sasa.

Tutakuwa tunaendelea taratibu.
Mkuu Mwelewa, niendelee kukushukuru sana kwa elimu hii inayotunufaisha wengi hapa. Japo binafsi ninakuwa slow sana, lakini tafadhari naomba tuvumiliane hivyohivyo!

Naam, sasa baada ya kufanikisha kufungua online store, hatua inayofuata ni ipi?
 
Back
Top Bottom