Msaada: Biashara ya kuagiza bidhaa Upcountry na kuziuza hapa nchini

Msaada: Biashara ya kuagiza bidhaa Upcountry na kuziuza hapa nchini

Mkuu Mwelewa, niendelee kukushukuru sana kwa elimu hii inayotunufaisha wengi hapa. Japo binafsi ninakuwa slow sana, lakini tafadhari naomba tuvumiliane hivyohivyo!

Naam, sasa baada ya kufanikisha kufungua online store, hatua inayofuata ni ipi?
Baada ya kufungua store, umepangilia kila kitu vizuri, umeweka products zako tayari. Hatua inayofuata ni KUTANGAZA products unazouza.

Kuna njia za kufanikisha hili

• Facebook Ad
- hii ipo technical kidogo kwahiyo unatakiwa ujifunze how to advertise with Facebook. Siyo ngumu ukipata mtu kukuelekeza vizuri.

• Instagram influencers.
- hii inahusu kutafuta wamiliki wenye account za Instagram zenye followers wengi nakuomba tangazo la biashara yako iwekwe.

Baada ya hapo sasa wateja watakuja kununua na utapata faida.

If you have more questions send email wiserastarising@gmail.com
 
Back
Top Bottom