mkuu hebu search hapo juu hii mada imejadiliwa mara nyingi sana mpaka inaboa sasa hivi, search hapo juu ina material mengi sana
Wow never thaught about that. Mkuu hapo umenizindua yaani maswali yangu yoote yamejibiwa bado ku clear doubts tu yaani kwenda kuona kwa macho na mimi kuingia kwenye fani.
Asante sana.
Wana JF nina nia ya kuanzisha hiyo biashara. Je kuna mtu mwenye uzoefu nayo tu share information kuhusu urahisi na changamoto za hii biashara? Natanguliza shukrani zangu.

Unafugia wapi: bwawa la kujengea kwa cement au la matope-ushauri wako kuhusu aina ya bwawa na faida zake. Alafu nimeona wadau apo juu wanasema Perege miezi 4 unavuna. Apo kwako ikoje? Na ivo vyakula/nutrients nimesoma mahali kwamba nutrients zingine zinapotea kwenye maji kabla samaki hawajala. Hebu tupe uzoefu apo kwako...Je mgependa kufahamu nini hasa kwani nami nafuga Tilapia
Karibu kwa maswali kama kuna kitu kimekutatiza baada ya kupitia nondo
Karibu kwa maswali kama kuna kitu kimekutatiza baada ya kupitia nondo
Ni vema ukatembelea hizo sehemu za kibamba, chanika na kuna watu binafsi wanafuga maeneo ya Kigamboni, Kibaha, KongoweMkuu nivumilie.
Unafugia wapi maana ngojangoja huumiza matumbo. Ningependa kukutembelea. Mi nipo Dar.
La kwa anayepajua Kibamba wanapotoa elimu Amwage details hapa tukaelimike.
Asanteni sana.