Msaada biashara ya kufuga samaki

Msaada biashara ya kufuga samaki

kakolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
397
Reaction score
341
Wana JF nina nia ya kuanzisha hiyo biashara. Je kuna mtu mwenye uzoefu nayo tu share information kuhusu urahisi na changamoto za hii biashara? Natanguliza shukrani zangu.
 
Ukijibiwa unishirikishe na mimi maana nipo interested na mradi kama huo
 
mkuu hebu search hapo juu hii mada imejadiliwa mara nyingi sana mpaka inaboa sasa hivi, search hapo juu ina material mengi sana
 
Wow never thaught about that. Mkuu hapo umenizindua yaani maswali yangu yoote yamejibiwa bado ku clear doubts tu yaani kwenda kuona kwa macho na mimi kuingia kwenye fani.
Asante sana.
 
all the best ni project nzuri sana mimi mwenyewe nitafanya, niko kwenye maandalizi
 
Wana JF nina nia ya kuanzisha hiyo biashara. Je kuna mtu mwenye uzoefu nayo tu share information kuhusu urahisi na changamoto za hii biashara? Natanguliza shukrani zangu.

kuna bwana mmoja humu alikuwa anauza vifaranga vya kambare nikimpata nitamleta hapa huenda mkabadlishana mawili matatu!
 
na mimi pia maana nina vihela kila nikiwekeza wanavitwanga.. na siko home bora mradi wa samaki
 
Wana JF nina nia ya kuanzisha hiyo biashara. Je kuna mtu mwenye uzoefu nayo tu share information kuhusu urahisi na changamoto za hii biashara? Natanguliza shukrani zangu.

Karibu kwa maswali kama kuna kitu kimekutatiza baada ya kupitia nondo
 
Je mgependa kufahamu nini hasa kwani nami nafuga Tilapia
 
Unafugia wapi: bwawa la kujengea kwa cement au la matope-ushauri wako kuhusu aina ya bwawa na faida zake. Alafu nimeona wadau apo juu wanasema Perege miezi 4 unavuna. Apo kwako ikoje? Na ivo vyakula/nutrients nimesoma mahali kwamba nutrients zingine zinapotea kwenye maji kabla samaki hawajala. Hebu tupe uzoefu apo kwako...
 
Karibu kwa maswali kama kuna kitu kimekutatiza baada ya kupitia nondo

Nimepitia hizo nondo. Kweli zimenifungua macho. Lakini ningependa kujua zaidi kuhusu hiyo acquaphonic system. Nipo.dsm ningepata fursa ya kuona,ingekua vizur sana.
 
Karibu kwa maswali kama kuna kitu kimekutatiza baada ya kupitia nondo

Mkuu nivumilie.
Unafugia wapi maana ngojangoja huumiza matumbo. Ningependa kukutembelea. Mi nipo Dar.

La kwa anayepajua Kibamba wanapotoa elimu Amwage details hapa tukaelimike.
Asanteni sana.
 
Ni vema ukatembelea hizo sehemu za kibamba, chanika na kuna watu binafsi wanafuga maeneo ya Kigamboni, Kibaha, Kongowe
 
Back
Top Bottom