Part 2
Ili uweze kufanikiwa kwenye biashara ya usafirishaji unatakiwa kuwa na mambo yafuatayo
1. Uwe n gerage ya kwako hata kama ni ndogo
2. Uwe na duka la spare la kwako
3. Uwe unajua kutunza fedha zinazo kusnywa.
Nashukuru mkuu,VP kwa Mimi ambaye nataka nianze na gari moja kuwa na gereji na duka si inabidi niwe na bajeti kubwa
hii ngoma imeshuka ivi ? miaka ya 2014 ilikua inasoma karibia 80m kwa ile ambayo iko full( ndefu na bila panki kwa juu )Coaster box ( with 14B engine) kuanzia 55M
mkuu coster kwa day inaweza kuwa chini ya hiyo hela hasa ikiwa ni ya petrol maana inatafuna mafuta ka jini pia ukizingatia petrol ipo juu wengine naona wanachukua 50 kwa coster ila civilian inakuwa 100 000 kwenda juu mpaka 130 000 ila laziima tajiri atoe posho ka ikiwa 130 000 ama 120 000Kwa hapa dar hesabu ya siku sio chini ya 90,000 kwa costa
Na rafiki yangu yuko nayo inapiga makumbusho gerezani via mabibo hesabu kwa siku 110,000
mkuu umempa mbadala mzuri sana sema yeye amelenga daladala naamini akichekecha mambo anaweza kuona nayo ni fursa sema bei ya tipa nayo imechangamka kwa sasaKama bado ujanunua hyo gari nakushauri nunua Fuso (Tipper) iwe inabeba mchanga kibaha inaleta dar mbezi hesabu kwa siku laki had laki na 20, inalipa sana ukipata dereva mzuri au ukiwa unaendesha mwenyewe inaweza ikakaa had miaka 6 bado mbichi
wengi hatujui bei halisi za haya magari na hatuna tabia za kuyafuatilia bei ndo maana inakuwa hivyo ila box iko bei juu sana maana ile ni roho ya fisi ka si paka, ila coster mpaka 90 inagongahii ngoma imeshuka ivi ? miaka ya 2014 ilikua inasoma karibia 80m kwa ile ambayo iko full( ndefu na bila panki kwa juu )
Ni kweli pale juu nilichanganya kidogo mkuu lakini sio mbaya kwa uzoefu wako ukatuletea aina tofauti unazozijua na bei zake kutokana na uzoefu wako mfano hizo ulizotajaMkuu, mbona uanchanganya madesa? Costa (Coaster ) ni brand za Toyota na NIssani Civilian hiyo ni aina nyingine ya min bus, unataka ipi hasa? Ungekuja na options kadhaa tungeweza kukusaidia cause kuna Mitsubish Rosa, kuna Isuzu Journey nk. Unataka ipi hasa? Toyota, Nissani, Isuzu au Mitsubishi?
Kabla ya kukutajia bei, tupeane ushauri kwanza then wewe utafanya maamuzi. Kama una mpango wa kukaa na gari hilo kwa muda mrefu then nakushauri chagua Coaster kwa maana ya Toyota, kama unapendelea kua na gari linalo beba abiria wengi na una dereva ambaye yupo commented na kazi yake then chukua Mitsubish Rosa, hizo zingine 2 yaani Isunzu journey na Nissani Civilian achana nazo mkuu.Ni kweli pale juu nilichanganya kidogo mkuu lakini sio mbaya kwa uzoefu wako ukatuletea aina tofauti unazozijua na bei zake kutokana na uzoefu wako mfano hizo ulizotaja
1 Toyota coaster
2 Nissan civilian
3 Mitsubishi Rosa
4.Isuzu Journey
5................
Poa mkuu nashukuru kwa mawazo yakoKabla ya kukutajia bei, tupeane ushauri kwanza then wewe utafanya maamuzi. Kama una mpango wa kukaa na gari hilo kwa muda mrefu then nakushauri chagua Coaster kwa maana ya Toyota, kama unapendelea kua na gari linalo beba abiria wengi na una dereva ambaye yupo commented na kazi yake then chukua Mitsubish Rosa, hizo zingine 2 yaani Isunzu journey na Nissani Civilian achana nazo mkuu.
Nitafafanua kidogo kwa hizo 2 nilizo pendekeza; Bei za gari hazipo specific though Toyota ndio itakayo ongoza, ukiagiza au hata kununua show room hakuna bei moja, inategemea gari hiyo ni ya mwaka gani engine capacity (cc) na imetembea km ngapi then muuzaji atakupa bei based on those criteria but again Toyota is more stonger than any of those 4 types. Rosa ipo very strong but not durable, ukimpata dereva ambaye hayupo kabisa serious na kaziyake ndio kabisa atakuharibia hata chini ya mwaka mmoja, cha kwanza hizo hua zinaua turbo mapema sana but is because of driving behaviors za madereva, faida yake ni hi, inachukua hadi watu 42 wakiwa wamekaa na fuel consumption sio kubwa kiviile, Coaster yenye watu wengi sana haiwezi zidi siti 35 tena baada ya modification but ngingi ni between 27-30. Faida ya Coaster ( Toyota) spare zake zipo tu hata huko unakotaka kuipeleka, kimsingi Coaster ngingi ni engine ya VX au GX na hata prado zinaingiliana vizuri tu. Ni hayo tu mkuu!
Poa nashukuru mkuu kwa mawazo yako,nimepata mambo muhimu kwa kuwa umeeleze kwa uzoefu ABC za hii biasharamkuu natumai umeona fursa na umeamua kutafuta taarifa muhimu kabla ya kuingia kwenye ununuzi/uanzishaji wa biashara hiyo, nikupongeze kwa kuona vyema fursa na kutafuta taarifa za awali
Nikuweke sawa tuu katika aina za gari kuna Toyota coaster pia kuna Nissani civilia hizo ni gari mbili tofauti kabisa japo zote zinatoak japanio, toyota ni miongoni mwa brand za ukweli sana hasa hiyo coaster ukiilinganisha na nissan civilian, coaster inauwezo wa kuishi miaka mingi sana na ndo maana unaweza kuona namber b ama c ipo barabarani kama daladala tena mji mgumu kama Dar, nasema mgumu maana magari hayawezi kuishi miaka mingi kutokana na kazi kubwa yanafanya pia na ubovu wa barabara zetu
Nirudi katika bei za magari hayo Coaster ipo juu katika bei na hizo coaster pia zinatofautian maana kuna box na mayai ila 55-95 ila nimejaribu kuangalia ya mwaka 2008 inazidi 95 iko katika hali nzuri kabisa ila nazungumzia coaster mayai, ila mkuu kwaupande wa civilian mpaka inakufikia mkononi kwa ambayo imetumika zaidi ya miaka kumi unaweza ipata hata kwa 45, 50 mpaka 60 na inakuwa nzuri kabisa
Kwanini wengi wanapenda civilian? civiliani ni bei nafuu ukilinganisha na magari kama mistubish, isuzu, na kina toyota na ndomaana wengi wanazinunua kwa wingi na hesabu yao kubwa inakuwa ni miaka miwili hela yao inakuwa imerudi yote kama mambo yakienda kama yalivyopangwa nikiwa namaanisha Mungu kaondolea mbali ajali na majanga mengine, pia hesabu yake inafikika hasa ile ya 100 000 mpka 120 000 (120 000 rejea juu) kwa watu wanaofanya biashara hapa Dar kwahiyo mtua najua ikifika miaka miwili chombo bado kitakuwa na hali nzuri na akiamua kukiuza si chini ya 20M kinaondoka haraka , kwahiyo anakuwa na faida yakutosha na akiamua kuendelea nacho ni juu yake.
Hesabu kwa Dar mkuu ni kama nilivyoonyesha ila kwa nje ya mji sifahamu sana , ila unaweza fuatilia na ukapata majibu mazuri, ila mkuu biashara ya magari inafaida nzuri sana tena sana mie nikushauri ka umetia nia wee fanya upembuzi uanzishe maana kikupasacho wewe ni usimamizi wa ukaribu, pia ni kuomba Mungu maana biashara zote zenye hela hazikosi changamoto nyingi ila kubwa ni hiyo ya usimamizi an kujua namna ya kupambana na madereva na makondakta maana bila kupata dereva anaejielewa utaona mambo ni magumu kupita kawaida na unaweza jutia kujiingiza kwenye biashara.
MKUU karibu katika biashara ya porini biashara ya tractor si mbaya kama utakuwa na usimamizi ama ukiwa na muda wakuwa nawe pori
Kila la heri
ni kulima mashamba ya watu kwakufuata misimu ya sehemu husika. mfano msimu ya kilimo pwani unafanya , morogoro ukifik aunaenda. pia sehemu nyingine unazoona zinalipa ila si biashara mbaya sema yataka usimamizi wa karibu ka zilivyo biashara nyinginePoa nashukuru mkuu kwa mawazo yako,nimepata mambo muhimu kwa kuwa umeeleze kwa uzoefu ABC za hii biashara
VP hio biashara ya Tractor porini ni ipi?
ni kulima mashamba ya watu kwakufuata misimu ya sehemu husika. mfano msimu ya kilimo pwani unafanya , morogoro ukifik aunaenda. pia sehemu nyingine unazoona zinalipa ila si biashara mbaya sema yataka usimamizi wa karibu ka zilivyo biashara nyingine
poa mkuu ka unahitaji mengi naweza kukueleza ambayo yatakufaa maana siwezi andika yote nawe huwezi uliza yote kwa kuandika ila yote kwa yote nikutakie mafanikio mema katika project yakoAsante mkuu nimekupata
mkuu coster kwa day inaweza kuwa chini ya hiyo hela hasa ikiwa ni ya petrol maana inatafuna mafuta ka jini pia ukizingatia petrol ipo juu wengine naona wanachukua 50 kwa coster ila civilian inakuwa 100 000 kwenda juu mpaka 130 000 ila laziima tajiri atoe posho ka ikiwa 130 000 ama 120 000
mkuu mi sifanyi ubahatishaji na sijaandika kwa bahati mbaya hiyo ni box ya petrol hesabu imeshushwa na tajiri ili iweze kuwa njiani maana kila dereva anaikimbia maana hela nyingi inaenda kwenye mafutaRuti gani iyo costa kwa hapa dar ..mwenye gari anachukua hesabu ya 50,000 kwa siku ,ukweli hii ndio nasikia kwako