Msaada; Biashara ya kusafirisha abiria

Nimekupata mkuu,lengo hasa ni gari moja tu kama ni Nissan Civilian kwakua sijawa na uwezo wa zaidi ya hapo maana bajeti niliopigia kichwani ni 30M so sijajua maana hapo juu hujaweka makadirio ya bei kwa kila moja lakini nashukuru nimepata mawazo yako
Mkuu kwa hyo bajeti yako ni afadhali ununue Canter ndio utaimudu ikianza safari za kwenda gereji na kununua spea.
Ukinunua hizo za bei kubwa na ukamaliza hela likianza kukongoroka litakushinda na matokeo yake litapaki uwani na kuwa nyumba ya kuku au makumbusho.
Kwa mfano maeneo ninayoishi Mimi kule goba watu wenye canter wanatamba sana kwa kazi za kusambaza/kuuza maji yaani hazikai chini siku nzima.
 
Poa nashukuru kwa ushauri mkuu
 
hongera sana..nadhani kwakuanzia tujue unataka kuanyia biashaa yako mkoa gani au eneo gani...kwa sababu kila eneo na aina ya matoleo yake..mfano huwez kusema unataka upeleke nissan arusha wakati arusha wanatumia 1hd...and so on!!!!
 
Asante plan yangu ni mkoa wa Singida mkuu,lakini iwe kwenye barabara ya Lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…