mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mkuu kwa hyo bajeti yako ni afadhali ununue Canter ndio utaimudu ikianza safari za kwenda gereji na kununua spea.Nimekupata mkuu,lengo hasa ni gari moja tu kama ni Nissan Civilian kwakua sijawa na uwezo wa zaidi ya hapo maana bajeti niliopigia kichwani ni 30M so sijajua maana hapo juu hujaweka makadirio ya bei kwa kila moja lakini nashukuru nimepata mawazo yako
Ukinunua hizo za bei kubwa na ukamaliza hela likianza kukongoroka litakushinda na matokeo yake litapaki uwani na kuwa nyumba ya kuku au makumbusho.
Kwa mfano maeneo ninayoishi Mimi kule goba watu wenye canter wanatamba sana kwa kazi za kusambaza/kuuza maji yaani hazikai chini siku nzima.