Msaada biashara ya kuuza na kunua bia kwa bei ya jumla

Msaada biashara ya kuuza na kunua bia kwa bei ya jumla

jay pelle

Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
19
Reaction score
10
Jaman kwa mweny kujua juu ya biashara ya kununua bia company ya BALIMI na kuuza huwa ikoje na unapataje mzigo na kwa bei gan msaada plz kwa mweny kujua
 
Mkuu unaweza kuwa supplier Wa eneo kutoka Kwa authorised dealer, ambapo utatakiwa kuwa na crate binafsi zisizopungua idadi utakayoambiwa, then unanunua mzigo unaletewa mpk sehemu unayouzia. Kwa kila crate unaachiwa faida ya jero, km una mtaji mzuri na mzunguko upo ndio itakulipa Ila kama unauza crate moja Kwa siku lazima ulie na operation costs
 
Back
Top Bottom