Mkuu unaweza kuwa supplier Wa eneo kutoka Kwa authorised dealer, ambapo utatakiwa kuwa na crate binafsi zisizopungua idadi utakayoambiwa, then unanunua mzigo unaletewa mpk sehemu unayouzia. Kwa kila crate unaachiwa faida ya jero, km una mtaji mzuri na mzunguko upo ndio itakulipa Ila kama unauza crate moja Kwa siku lazima ulie na operation costs