Mkuu vipi ulifanikiwa?? me nafikiria kufanya hivyo lakini cna muongozoWadau nimekuja hapa kwenu JF najua hamna kinachoharibika maana meng hutatutuliwa humu nahitaji kufungua library ya kukodisha mikanda ila nahitaji iwe ya kisheria zaid nauliza kunataratibu zozote zile zinafanyika kwa wenye mamlaka na Bongo movies kuzikodisha?yaan kama ukataji wa kibali naombeni msaada wa hili jambo na kama kukata kibali naomba maelekezo wapi wanakatia na gharama ni shilingi ngapi?
Wazo zuri but kuna changamoto zake ila hii biashara ilishavamiwa sana kila kona utaikutaHabar zenu wana Jamvi...I hope tuko salama sote pia kwa ambao hawapo sw kwa namna moja ama nyingne Tunakuombeen mrejee ktk salama..
Ndugu zangun mm ni kijana mweny umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha sita mwaka huu na sikupata post ya Jesh hivo npo mtaani kwa ss. Ndoto yang kubwa ni kua Ujasiriamali mkubwa sana hivyo ili kutimiza ndoto zangu nmeona nianze kuangalia fursa mapema na moja ktk hizo nmeona nianze na hii ya Library.
Naomben sn kwa mwenye ujuz na biashara hii ya kukodisha na kuuza CD anipe mchanganuo kuanzia mtaji na process nyngne zote,npo Daressalaam!!
Ntashukuru sn kwa mawazo yenu!!!
Miji iliyo accupied na ccm are illiterate in nature,Pesa unayo...na huko dodoma elimu mnayo kweli kama mmeweza kuua watafiti kwa kukosa elimu..je hizo movie za kuchinjana si ndo mtaongeza maafa zaidi...
Mkuu naomba uniambie hivi Viroba ulivyokunywa ni vya aina gani na vinapatikana sehemu gani.Punguza ulevi
Punguza kula viloba
Punguza ujinga
Punguza kuuza movie
kazi njema kalibu JF
sidhani kama inalipa. watu wengi wanaangalia movie kwenye vingamuzi au youtube. tatizo kwetu huwa zinafika zimechelewa sana. Pia udhaifu wa sheria ya hati miliki ukikodisha moja utashangaa nakala zake zitakavyojaa mjini.Wadau wangu npo maeneo ya dodoma nataka nifungue library ya kuuza moves mbali mbali ....... Tafadhari naombeni ushauli vitu vya kuzingatia kabla sija anzisha