Msaada Biashara ya Library

Msaada Biashara ya Library

Wadau nimekuja hapa kwenu JF najua hamna kinachoharibika maana meng hutatutuliwa humu nahitaji kufungua library ya kukodisha mikanda ila nahitaji iwe ya kisheria zaid nauliza kunataratibu zozote zile zinafanyika kwa wenye mamlaka na Bongo movies kuzikodisha?yaan kama ukataji wa kibali naombeni msaada wa hili jambo na kama kukata kibali naomba maelekezo wapi wanakatia na gharama ni shilingi ngapi?
Mkuu vipi ulifanikiwa?? me nafikiria kufanya hivyo lakini cna muongozo
 
Fungua Bar ama Guest House maana wabongo library hawatakuja kabisaa
 
Habar zenu wana Jamvi...I hope tuko salama sote pia kwa ambao hawapo sw kwa namna moja ama nyingne Tunakuombeen mrejee ktk salama..

Ndugu zangun mm ni kijana mweny umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha sita mwaka huu na sikupata post ya Jesh hivo npo mtaani kwa ss. Ndoto yang kubwa ni kua Ujasiriamali mkubwa sana hivyo ili kutimiza ndoto zangu nmeona nianze kuangalia fursa mapema na moja ktk hizo nmeona nianze na hii ya Library.

Naomben sn kwa mwenye ujuz na biashara hii ya kukodisha na kuuza CD anipe mchanganuo kuanzia mtaji na process nyngne zote,npo Daressalaam!!

Ntashukuru sn kwa mawazo yenu!!!
 
Wazo zuri but kuna changamoto zake ila hii biashara ilishavamiwa sana kila kona utaikuta
But usikate tamaa imradi umeipenda kuifanya utaifanya kwa moyo
Asante
 
Mi nilifikiri ni library ya vitabu, kwamba utengeneze ukumbi au garden yenye viti na meza kama vyuoni halafu wateja walipie.
 
Wadau wangu npo maeneo ya dodoma nataka nifungue library ya kuuza moves mbali mbali ....... Tafadhari naombeni ushauli vitu vya kuzingatia kabla sija anzisha
 
Punguza ulevi
Punguza kula viloba
Punguza ujinga
Punguza kuuza movie

kazi njema kalibu JF
 
Wadau wangu npo maeneo ya dodoma nataka nifungue library ya kuuza moves mbali mbali ....... Tafadhari naombeni ushauli vitu vya kuzingatia kabla sija anzisha
sidhani kama inalipa. watu wengi wanaangalia movie kwenye vingamuzi au youtube. tatizo kwetu huwa zinafika zimechelewa sana. Pia udhaifu wa sheria ya hati miliki ukikodisha moja utashangaa nakala zake zitakavyojaa mjini.
 
Wadau kuna uzi nimeutafuta hadi nimechoka, ipo hivi jamaa aliandika namna ya kufungua biashara ya Library kwa mtaji mdogo nahisi aliandika kamaw800,000/= please mtu ambaye anayo link yake anitumie pia kama kuna mtu anauzoefu nawanajua mchanganuo wa library aniwekee hapa.

Kingine kuna sehemu nimeitageti ila haina fremu hivyo nataka kujua bei ya fremu inaweza kuwa shilingi ngapi kutengeneza zile za kuvuta chini au hata za kawaida anijuze.

YA CD ZA KUKODISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom