serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Habari wanabodi,
Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na jinsi ya kuruka viunzi vya barabarani.
Nataka kufanya biaashara hii mkoa wa Dodoma.
Natanguliza shukrani.