Msaada: Biashara ya mbaao ngumu (mninga na mkongo)

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
7,340
Reaction score
4,734
Habari wanabodi,

Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na jinsi ya kuruka viunzi vya barabarani.

Nataka kufanya biaashara hii mkoa wa Dodoma.

Natanguliza shukrani.
 
Wakikujibu tutafaidika wote. Vema kwa kuleta mada hii
 
Ipo vizuri
Lakini inahitaji mtaji mkubwa!

Kuna gharama za kufuata msitu shambani au kwenda kwenye masoko ya jumla (Kulangua)

Sasa sijajua mnataka,kufuata msituni (Kwa Mkulima)
Au mnataka kununua (watu wa jumla)?

Eitherway is possible.. tutaangalia penye urahisi au faida kubwa.

Unaweza kutufafanulia hizo gharama zinazohusika?

Mtaji kiasi gani unahitajika ku break even kwa haraka?

Ukitoa msituni kuna faida kubwa!!
Ila kinacho matter zaidi ni gharama za usafiri na vibali..
Japp.kama unaona hauna mtaji mzuri unaweza kuanza kulangua...kwa kuja huku kwenye masoko ya mbao...

Ukifanikiwa ku block mzigo wa usafiri na vibali kila kitu kitakuwa sawa!!

Gharama ndogo za mashine za kupasulia na kukatia Miti..
Mkataji hana gharama kubwa!!!

Ukija msituni..
Huwa wanauza kwa gharama ya mti...
Kila mti huwa una gharama zake...

Mf...mti mmoja wanaweza kuuza sh 10K sasa ikiwa shamba lina miti 3K
Hii itakuwa
10000×3000
Ambayo itakuletea Zaidi ya 30M

Katika biashara Hii kinacho Matter zaidi na kuleta cost ni
Usafiri
Vibali havisumbuhi sanaa!!
 
Thanks for the enlightment mkuu...

Ni mikoa ipi hasa inapatikana hii mikongo na mninga?

Kuna project tulifanya, tulihitaji mkongo ilibidi magogo yatoke Congo ndo yapasuliwe kutoa mbao.. Mbao zilikua quality sana mpaka watu wakawa interested nazo. Nimepata querries nyingi sana ndo maana niona nijjifunze juu ya hii bishara.
 
Ukitoa msituni kuna faida kubwa!!
Ila kinacho matter zaidi ni gharama za usafiri na vibali..
Japp.kama unaona hauna mtaji mzuri unaweza kuanza kulangua...kwa kuja huku kwenye masoko ya mbao...

Ukifanikiwa ku block mzigo wa usafiri na vibali kila kitu kitakuwa sawa!!

Gharama ndogo za mashine za kupasulia na kukatia Miti..
Mkataji hana gharama kubwa!!!

Ukija msituni..
Huwa wanauza kwa gharama ya mti...
Kila mti huwa una gharama zake...

Mf...mti mmoja wanaweza kuuza sh 10K sasa ikiwa shamba lina miti 3K
Hii itakuwa
10000×3000
Ambayo itakuletea Zaidi ya 30M

Katika biashara Hii kinacho Matter zaidi na kuleta cost ni
Usafiri
Vibali havisumbuhi sanaa!!
Hivi mikaratusi soko lake lipoje? Nahitaji kuipanda November ila kuna mdau ananikatisha tamaa kuwa haina soko zuri kwamba bora nipande bodo bodo
 
Ukitoa msituni kuna faida kubwa!!
Ila kinacho matter zaidi ni gharama za usafiri na vibali..
Japp.kama unaona hauna mtaji mzuri unaweza kuanza kulangua...kwa kuja huku kwenye masoko ya mbao...

Ukifanikiwa ku block mzigo wa usafiri na vibali kila kitu kitakuwa sawa!!

Gharama ndogo za mashine za kupasulia na kukatia Miti..
Mkataji hana gharama kubwa!!!

Ukija msituni..
Huwa wanauza kwa gharama ya mti...
Kila mti huwa una gharama zake...

Mf...mti mmoja wanaweza kuuza sh 10K sasa ikiwa shamba lina miti 3K
Hii itakuwa
10000×3000
Ambayo itakuletea Zaidi ya 30M

Katika biashara Hii kinacho Matter zaidi na kuleta cost ni
Usafiri
Vibali havisumbuhi sanaa!!
Mkuu nasikia mininga haipandwi inapatikana misituni vp Tanzania bado tunayo mingi?
 
Mininga na mikongo ni natural trees.. lakini juzi kati nilisikia Wakala wa misitu Tanzania wanazo mbegu za mninga na wamejipanga kupambana na extinction ya miti hio...
 
Habari wanabodi,

Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na jinsi ya kuruka viunzi vya barabarani.

Nataka kufanya biaashara hii mkoa wa Dodoma.

Natanguliza shukrani.
Nenda ofisin za halmashauri uliza watu Tfs ongea nao watakupa maelekezo mazuri Sana wala usjar.
 
Hiyo biashara ni Bora uwe na kijiwe mjini unauza mbao utapata pesa lkn ukiingia sehemu nyingine yeyote kwenye mnyororo wa hiyo biashara , utaishia kukimbiza mwenge tu.
 
Hahahaaa.. tunaomba experience yako katika hii biashara mkuu...
Hiyo biashara ni Bora uwe na kijiwe mjini unauza mbao utapata pesa lkn ukiingia sehemu nyingine yeyote kwenye mnyororo wa hiyo biashara , utaishia kukimbiza mwenge tu.
 
Pg
Habari wanabodi,

Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na jinsi ya kuruka viunzi vya barabarani.

Nataka kufanya biaashara hii mkoa wa Dodoma.

Natanguliza shukrani.
Pga 0714244482 ntakupa maesabu yote
 
Kwa yeyote anaehitaji izi mbao za mninga na mkongo anakaribishwa kwa mazungumzo zipo za kutosha kabisa zikiwa na vibali vyote

28defef9-5247-4198-9792-0d96e0487289.jpg
72f97157-f6b1-400c-84f5-880669f41a49.jpg
b3391115-9f58-44f6-b532-ed80c6e00f5a.jpg
 
Back
Top Bottom