Wakikujibu tutafaidika wote. Vema kwa kuleta mada hii
Habari wanabodi,
Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na jinsi ya kuruka viunzi vya barabarani.
Nataka kufanya biaashara hii mkoa wa Dodoma.
Natanguliza shukrani.
Eitherway is possible.. tutaangalia penye urahisi au faida kubwa.Ipo vizuri
Lakini inahitaji mtaji mkubwa!
Kuna gharama za kufuata msitu shambani au kwenda kwenye masoko ya jumla (Kulangua)
Sasa sijajua mnataka,kufuata msituni (Kwa Mkulima)
Au mnataka kununua (watu wa jumla)?
Ukitoa msituni kuna faida kubwa!!Eitherway is possible.. tutaangalia penye urahisi au faida kubwa.
Unaweza kutufafanulia hizo gharama zinazohusika?
Mtaji kiasi gani unahitajika ku break even kwa haraka?
Natanguliza shukrani.
Thanks for the enlightment mkuu...Ukitoa msituni kuna faida kubwa!!
Ila kinacho matter zaidi ni gharama za usafiri na vibali..
Japp.kama unaona hauna mtaji mzuri unaweza kuanza kulangua...kwa kuja huku kwenye masoko ya mbao...
Ukifanikiwa ku block mzigo wa usafiri na vibali kila kitu kitakuwa sawa!!
Gharama ndogo za mashine za kupasulia na kukatia Miti..
Mkataji hana gharama kubwa!!!
Ukija msituni..
Huwa wanauza kwa gharama ya mti...
Kila mti huwa una gharama zake...
Mf...mti mmoja wanaweza kuuza sh 10K sasa ikiwa shamba lina miti 3K
Hii itakuwa
10000×3000
Ambayo itakuletea Zaidi ya 30M
Katika biashara Hii kinacho Matter zaidi na kuleta cost ni
Usafiri
Vibali havisumbuhi sanaa!!
Hivi mikaratusi soko lake lipoje? Nahitaji kuipanda November ila kuna mdau ananikatisha tamaa kuwa haina soko zuri kwamba bora nipande bodo bodoUkitoa msituni kuna faida kubwa!!
Ila kinacho matter zaidi ni gharama za usafiri na vibali..
Japp.kama unaona hauna mtaji mzuri unaweza kuanza kulangua...kwa kuja huku kwenye masoko ya mbao...
Ukifanikiwa ku block mzigo wa usafiri na vibali kila kitu kitakuwa sawa!!
Gharama ndogo za mashine za kupasulia na kukatia Miti..
Mkataji hana gharama kubwa!!!
Ukija msituni..
Huwa wanauza kwa gharama ya mti...
Kila mti huwa una gharama zake...
Mf...mti mmoja wanaweza kuuza sh 10K sasa ikiwa shamba lina miti 3K
Hii itakuwa
10000×3000
Ambayo itakuletea Zaidi ya 30M
Katika biashara Hii kinacho Matter zaidi na kuleta cost ni
Usafiri
Vibali havisumbuhi sanaa!!
Mkuu nasikia mininga haipandwi inapatikana misituni vp Tanzania bado tunayo mingi?Ukitoa msituni kuna faida kubwa!!
Ila kinacho matter zaidi ni gharama za usafiri na vibali..
Japp.kama unaona hauna mtaji mzuri unaweza kuanza kulangua...kwa kuja huku kwenye masoko ya mbao...
Ukifanikiwa ku block mzigo wa usafiri na vibali kila kitu kitakuwa sawa!!
Gharama ndogo za mashine za kupasulia na kukatia Miti..
Mkataji hana gharama kubwa!!!
Ukija msituni..
Huwa wanauza kwa gharama ya mti...
Kila mti huwa una gharama zake...
Mf...mti mmoja wanaweza kuuza sh 10K sasa ikiwa shamba lina miti 3K
Hii itakuwa
10000×3000
Ambayo itakuletea Zaidi ya 30M
Katika biashara Hii kinacho Matter zaidi na kuleta cost ni
Usafiri
Vibali havisumbuhi sanaa!!
Mininga na mikongo ni natural trees.. lakini juzi kati nilisikia Wakala wa misitu Tanzania wanazo mbegu za mninga na wamejipanga kupambana na extinction ya miti hio...Mkuu nasikia mininga haipandwi inapatikana misituni vp Tanzania bado tunayo mingi?
Nenda ofisin za halmashauri uliza watu Tfs ongea nao watakupa maelekezo mazuri Sana wala usjar.Habari wanabodi,
Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na jinsi ya kuruka viunzi vya barabarani.
Nataka kufanya biaashara hii mkoa wa Dodoma.
Natanguliza shukrani.
Pga 0714244482 ntakupa maesabu yoteHabari wanabodi,
Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na jinsi ya kuruka viunzi vya barabarani.
Nataka kufanya biaashara hii mkoa wa Dodoma.
Natanguliza shukrani.
Mkuu toa madini hapa hapa wengi wanufaike sio kwa njia hiyo ya in bobo...Pg
Pga 0714244482 ntakupa maesabu yote
Kwa yeyote anaehitaji izi mbao za mninga na mkongo anakaribishwa kwa mazungumzo zipo za kutosha kabisa zikiwa na vibali vyote
View attachment 1200770View attachment 1200772View attachment 1200773
Zipo wap?Kwa yeyote anaehitaji izi mbao za mninga na mkongo anakaribishwa kwa mazungumzo zipo za kutosha kabisa zikiwa na vibali vyote

Zipo wap?