Msaada: Biashara ya Mitumba Memorial Moshi

Msaada: Biashara ya Mitumba Memorial Moshi

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
262
Wakuu,mimi nakaa hapa Moshi karibu na soko la mitumba memorial,nilikua nataka kuwa nanunu mitumba hapa napeleka Bariadi na shinyanga ila sasa sina uzoefu na.biashara hii
Sasa naomba ushauri natakiwa niwe na hela kiasi gani ili niweze kumudu hii biashara? mi nilikua na laki tatu tu,asanteni
 
Back
Top Bottom