mbinu moja rahisi sana, unatengeneza vimfuko maalum hata vya bahasha kwa ajili ya kila funguo..kila kimfuko unakiandika namba ya chumba na halafu unatumbukiza funguo yake humo kisha unabana kwa stepler au gundi nzuri ya maji sehemu ya kufunga hicho kimfuko, ukipenda unagonga na muhuri wako maalum hapo...kesho yake unaenda kuchukua pesa ya vifuko vyote utakavyokuta vimechanwa kwa huyo msimamizi wa guest, meaning lazima kuna mteja alitumia hicho chumba.
Kama ww ni mmiliki na upo mbali na guest yako basi huna budi kuwa na mtu unayemwamin kwenda kukusanya hizo pesa zako
cha msingi ni kuwa na vimfuko vizuri ambavyo utajua kirahisi kama vilifunguliwa au hapana maana wajanja hawaishiwi mbinu ya kuiba