Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok sema hata ukiwauliza ua wachoyo kusema ndio tatizo la wabongo tafuta ukipata niambie na mm maana mm hua nfanya hiyo biashara perfume kwa rejareja sema sio za kupima.Asante kwa mchango wako. Ila nilitaka nijue wao wanakozinunulia ili nami niwe nachukua nauza kwa jumla.
Mwaga hapa ubuyu0768 333 953 nitafute.
ingekuwa vema zaid kama ungejibu alichouliza mleta post kuliko kuandka haya yote na hakuna jbu la kilichoulizwaSasa niandike kitabu hapa! !! Maelezo ni mengi sana. Mimi hii biashara nimeifanya south Africa kwa miaka miwili.
Nilikua sijui kama hapa nao ni biashara kubwa sana. Faida yake ni more that 1000% mpaka inatisha. Mimi nataka tu kukupa muhtasari.
Nimeifanya reserch hapa bongo. Hakuna mtu hata mmoja ambae atakuuzia mafua kwa jumaa. Kwa hilo sahau.
Na lingine yale mafuta mazuri yanatoka france na Italy.
Mkuu nataka nifanye i biashara ya perfume .unaweza kunipa range ya mtaji ntakao weza kufanyaOk sema hata ukiwauliza ua wachoyo kusema ndio tatizo la wabongo tafuta ukipata niambie na mm maana mm hua nfanya hiyo biashara perfume kwa rejareja sema sio za kupima.
Hivi Oil based perfume zinaagizwa kutoka nchi gani hasa? Namaanisha kwa bei ya jumla hasahasa zile pure.
Kama kuna mtu anamjua seller au mahali ambako wabongo huwa wanaagiza perfume za kupima please naomba kuelekezwa.
View attachment 1526672
ShukranMafuta (essential oils) yanapatikana nchi mbalimbali mfano France, Italy, China, Dubai, Uturuki nk, ila kwa experience yangu ya zaidi ya miaka 7 quality oils zinapatikana France, supplier ninaowasiliana nao huko France wanasema oils za Dubai huwa wanachukua viwandani huko France. Changamoto ya hizi oils ukiagiza apart from France unaweza pata mafuta ya low quality ukijua ni high quality.
Nadhani nitakuwa nimewapa mwanga cha muhimu do your own research ujiridhishe kabla hujaingia kwenye hii biashara.