Msaada: Biashara ya perfume za kupima

Msaada: Biashara ya perfume za kupima

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Hivi Oil based perfume zinaagizwa kutoka nchi gani hasa? Namaanisha kwa bei ya jumla hasahasa zile pure.

Kama kuna mtu anamjua seller au mahali ambako wabongo huwa wanaagiza perfume za kupima please naomba kuelekezwa.

images%20(4).jpg
 
Insta naonaga watu wanauza bei ya jumla na rejareja hizo perdume za kupima jaribu kupitia kurasa za zao ingia insta search perfume utakutana na hao waty
 
Sasa niandike kitabu hapa! !! Maelezo ni mengi sana. Mimi hii biashara nimeifanya south Africa kwa miaka miwili.

Nilikua sijui kama hapa nao ni biashara kubwa sana. Faida yake ni more that 1000% mpaka inatisha. Mimi nataka tu kukupa muhtasari.

Nimeifanya reserch hapa bongo. Hakuna mtu hata mmoja ambae atakuuzia mafua kwa jumaa. Kwa hilo sahau.

Na lingine yale mafuta mazuri yanatoka france na Italy.
 
ingekuwa vema zaid kama ungejibu alichouliza mleta post kuliko kuandka haya yote na hakuna jbu la kilichoulizwa
 
Ok sema hata ukiwauliza ua wachoyo kusema ndio tatizo la wabongo tafuta ukipata niambie na mm maana mm hua nfanya hiyo biashara perfume kwa rejareja sema sio za kupima.
Mkuu nataka nifanye i biashara ya perfume .unaweza kunipa range ya mtaji ntakao weza kufanya
 
Mafuta (essential oils) yanapatikana nchi mbalimbali mfano France, Italy, China, Dubai, Uturuki nk, ila kwa experience yangu ya zaidi ya miaka 7 quality oils zinapatikana France, supplier ninaowasiliana nao huko France wanasema oils za Dubai huwa wanachukua viwandani huko France. Changamoto ya hizi oils ukiagiza apart from France unaweza pata mafuta ya low quality ukijua ni high quality.

Nadhani nitakuwa nimewapa mwanga cha muhimu do your own research ujiridhishe kabla hujaingia kwenye hii biashara.
 
Shukran
 
Back
Top Bottom