ZamdaIssa
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 879
- 1,458
Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote!
Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata mtihani wa maradhi! Pesa yote ikaisha!
Mimi naishi Dar, Nimevutiwa sana na biashara ya Vijora ila sasa nataka vile vya kutoka Mombasa Kenya... Nahitaji nichukulie mzigo huko huko Mombasa!
Naomba mwenye Uelewa na biashara hii anieleweshe tafadhali.
Wasalaam.