MSAADA BIASHARA YA VIPODOZI

elvis richard

Senior Member
Joined
Dec 6, 2014
Posts
195
Reaction score
207
Habarini ndugu zangu
Naomba msaada katika hili Nina biashara yangu ya Urembo nilianza mda kama mwezi Wa kwanza hivi ..sasa kwa hatua niliyofikia nataka kumix na vipodozi kidogo kwa mbali
Sasa nahitaji msaada kujua ni bidhaa zipi za vipodozi zinapendwa sana kwa sasa hivi, hapa namaanisha
LOTION PENDWA,
SPRAY NA PERFUME PENDWA
MAFUTA YA NYWELE PENDWA
DAWA ZA NYWELE PENDWA PAMOJA NA MAFUTA YA MGANDO PENDWA
Nina pesa kama milioni moja hiv nnayotaka kuinvest
Asanten ..msaada wenu tafadhari
 
Qeen Elizabeth cocoa, buttter, American cocoa butter vitamin, E, Cantu hair jelly, After shave, blue magic hair oil, Sema hitaji lako nitakusaidia, hivyo ni baadhi ya vipodozi vilivyoko store
 
Qeen Elizabeth cocoa, buttter, American cocoa butter vitamin, E, Cantu hair jelly, After shave, blue magic hair oil, Sema hitaji lako nitakusaidia, hivyo ni baadhi ya vipodozi vilivyoko store
Hitaji langu ni kujua bidhaa zenyewe pamoja na bei zake za jumla ili nijue nachukua kiasi gani kama ni nusu dazani kwa kila bidhaa hasa kwa mafuta na lotion maana spray nishapata tayari
 
Qeen Elizabeth cocoa, buttter, American cocoa butter vitamin, E, Cantu hair jelly, After shave, blue magic hair oil, Sema hitaji lako nitakusaidia, hivyo ni baadhi ya vipodozi vilivyoko store
Piga simu 0712652110
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…