elvis richard
Senior Member
- Dec 6, 2014
- 195
- 207
Habarini ndugu zangu
Naomba msaada katika hili Nina biashara yangu ya Urembo nilianza mda kama mwezi Wa kwanza hivi ..sasa kwa hatua niliyofikia nataka kumix na vipodozi kidogo kwa mbali
Sasa nahitaji msaada kujua ni bidhaa zipi za vipodozi zinapendwa sana kwa sasa hivi, hapa namaanisha
LOTION PENDWA,
SPRAY NA PERFUME PENDWA
MAFUTA YA NYWELE PENDWA
DAWA ZA NYWELE PENDWA PAMOJA NA MAFUTA YA MGANDO PENDWA
Nina pesa kama milioni moja hiv nnayotaka kuinvest
Asanten ..msaada wenu tafadhari