Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini?
Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya kike(gauni) lakini niliuza siku 5 za kwanza tu ila sasa hivi mambo magumu mzigo ni kama umechacha sijafikia hata nusu ya gharama za mzigo.
Soma ushauri wa watu ila ukitaka mtaalam kuna mtu namfahamu uzuriWaheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini?
Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya kike(gauni) lakini niliuza siku 5 za kwanza tu ila sasa hivi mambo magumu mzigo ni kama umechacha sijafikia hata nusu ya gharama za mzigo.
wateja wa mtandaoni?Usisuburi wateja wa kuja dukani anza kupost mitandaoni
Piga picha nguo vizuri iwekee details post
Sponser ads utauza tu
Yeswateja wa mtandaoni?
unauzoefu nao
Yesunauzoefu nao
kwa bishara gani
Nguo, mashuka, viatu, mikoba, accessories, vyombo na Magarikwa bishara gani
mayai unayauzaje online?Nguo, mashuka, viatu, mikoba, accessories, vyombo na Magari
Pia vitunguu, mchele na mayai