Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hii kitu ya mitandaoni imekaka vipi ndugubiashara ya nguo siku hizi ni MTANDAONII NDUGU YANGUUU kama una ofisi ondoa shaka jiongezee funguaa account insta...fb uwe unapiga picha unapost yani utawapata tu wakitaka kuja ofisini unawaelekeza ila usiuzee mironyooo sanaa..!! na uwe muaminifu tu kwa wateja...kule sinza frame kubwa huoni mteja akiingia hata masaa matatu pamepoaa balaaa ila boda wanaenda kupeleka delivery za kutosha. JIONGOZE USIKIMBIE FRAME
Napost 😀nauza mayai ya kienyeji pure from singida tray 1 18,000 dar nakuletea ulipo delivery 1000mayai unayauzaje online?
hahaha kutoka singida vipi nikikuletea mayai ya kienyeji kwa jumla 15k,haya ukiyavunja ni njano midhili ya yebovyeboNapost 😀nauza mayai ya kienyeji pure from singida tray 1 18,000 dar nakuletea ulipo delivery 1000
Napost kwenye magroups huko facebook, whatsapp
Nakusanya orders kwa wiki nafanya delivery mara 3
Nnavyopeleka naweza kuunganisha na vitunguu n.k ambavyo natakiwa kudeliver
Unachosema ni kweli hata Kariakoo sasa ni mwendo wa kuchukua ODA kwa simu, Lipa Namba, mzigo unaletewa..biashara ya nguo siku hizi ni MTANDAONII NDUGU YANGUUU kama una ofisi ondoa shaka jiongezee funguaa account insta...fb uwe unapiga picha unapost yani utawapata tu wakitaka kuja ofisini unawaelekeza ila usiuzee mironyooo sanaa..!! na uwe muaminifu tu kwa wateja...kule sinza frame kubwa huoni mteja akiingia hata masaa matatu pamepoaa balaaa ila boda wanaenda kupeleka delivery za kutosha. JIONGOZE USIKIMBIE FRAME
Me nachukua kwa 14 au 13500 mkuuhahaha kutoka singida vipi nikikuletea mayai ya kienyeji kwa jumla 15,haya ukiyavunja ni njano midhili ya yebovyebo
tufanye biasharaMe nachukua kwa 14 au 13500 mkuu
Hakuna mayai nisiyoyaelewa ka ya Kienyeji, maana mengi unakuta yashaanza totolewa hivyo hayakai hata wikihahaha kutoka singida vipi nikikuletea mayai ya kienyeji kwa jumla 15k,haya ukiyavunja ni njano midhili ya yebovyebo
mzungu ukitaka ukosane nae mletee mayai ya kienyejiHakuna mayai nisiyoyaelewa ka ya Kienyeji, maana mengi unakuta yashaanza totolewa hivyo hayakai hata wiki
Ni mayai mabaya sana kama unayanunua kwa watu.mzungu ukitaka ukosane nae mletee mayai ya kienyeji
Mi pia sipendi kula yai la kienyej kile kijishombo aahHakuna mayai nisiyoyaelewa ka ya Kienyeji, maana mengi unakuta yashaanza totolewa hivyo hayakai hata wiki
vipi bishara ndio imeota mbawa niniMi pia sipendi kula yai la kienyej kile kijishombo aah
Soma ushauri wa watu ila ukitaka mtaalam kuna mtu namfahamu uzuri
nafikiri hii ni sababu kuuNi mayai mabaya sana kama unayanunua kwa watu.
Kama ni ya kuku wako mwenyewe ni sawa kabisa
Binafsi bado nayaamini sana mayai ya kisasa maana ndo hutumika dunia nzimanafikiri hii ni sababu kuu
unafanya biashara gani nduguChochote utakachoamua ni sawa ila hakikisha unaondoka na funzo fulani la marketing.
Well, tengeneza mtandao wa wateja, jiwekee mikakati ya jina la aina ya bidhaa unazouza.
Nilifanya hatua hizi kuwa na mtandao wa wateja hasa kwenye WhatsApp contacts list / Facebook na Insta.
1.
Nilikuwa nalipia facebook ads inatangaza, insta na facebook, naweka settings accordning to aina za wateja/watu naotaka kuwafikia.
2.
Nahakikisha kuna namba za simu, na picha nzuri za bidhaa,ilikuwa mtu akipenda aki click inampeleka kwenye namba zangu za simu akitext namba inakuwa kwenye phonebook yangu
( provided contact synchronised kwenye clouds ili siku ukipoteza simu unazi recover).
3.
Nilikuwa na mpango kazi wa 3 months naruka week mbili mbili kupandisha ads.
4.
Network ikakua na hata sometime unauza lakini unaweza act kama middle man kipindi huna mzigo, mtaji ni contacts list uliyo nayo.
Fanya haya hata ukihama ulipo unaweza hama na baadhi ya wateja wako hii ina kuwa unapiga miguu yote, ila kuhusu kuhama liangalie kwa umakini hata huko uendako pia, kupiga one two za maombi/dua, ndumba ziwepo kama extras [emoji28].
Tyrone KG
unafanya biashara gani ndugu