Msaada: Biashara yangu inapata Mauzo hafifu

Ndele baba jirani yako huyo sio mtu
Ntafute nkupe namba ya mtaalam
 
Mkuu gharama za matangazo fb zikoje?
 
Mkuu inawezacost kias gan kufanya tangazo fb?

Inatakiwa uanzishe page?

Gharama ni wewe unajipangia tu unataka tangazo lako litembee kwa muda gani lifikie watu wangapi kwa sh ngapi

Yes waeza kuwa na page au waweza link insta n fb uka sponser insta ikaruka hadi fb

Nowdays hata kwenye what’s up unaweza share to fb then ukasponser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…