MSAADA: Bima ya pikipiki

MSAADA: Bima ya pikipiki

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
6,682
Reaction score
11,461
Je kwa wajuzi wa bima za pikipiki naomba mnijuze iwapo ikatokea mtu kaibiwa pikipiki na alikua amekata compressive insuarance , je kuna uwezekano wa kulipwa madai yake??
 
Yes analipwa baada ya uchunguzi kufanyika ili husije fanya janja janja
 
Back
Top Bottom