Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache azae, atarudi tena shuleni.Wapendwa naombeni msaada wa kisheria
Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni. Nikamuelezea mwalimu wake wa darasa akadai akapime kujiridhisha akapewa Mwalimu wa kike majibu yakaja nimjamzito.
Akafuatwa yule kijana akahojiwa na mwl. Baba wa mtuhumiwa akapiga simu kwa mwl yakumtaka amtoroshe mtuhumiwa na mwl akalitekeleza hilo mpaka sasa mtuhumiwa hayupo nimebaki na binti yangu tu nyumbani sielewi pakuanzia naombeni msaada wa kisheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ningemfukuza huyu binti nyumbni na nisingetaka kumuona ngombe huyu akatafute kwake!
Pa kuanzia ni huyo bint yako kuhudhuria krinik mapema ili kuimarisha Afya yake kwa ushauri wa wataalam.Wapendwa naombeni msaada wa kisheria
Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni. Nikamuelezea mwalimu wake wa darasa akadai akapime kujiridhisha akapewa Mwalimu wa kike majibu yakaja nimjamzito.
Akafuatwa yule kijana akahojiwa na mwl. Baba wa mtuhumiwa akapiga simu kwa mwl yakumtaka amtoroshe mtuhumiwa na mwl akalitekeleza hilo mpaka sasa mtuhumiwa hayupo nimebaki na binti yangu tu nyumbani sielewi pakuanzia naombeni msaada wa kisheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba sio kosa, huyo ni mwanaoLengo aje akili kuwa ni yy kweli nimkabizi mkewake waendelee na maisha yao m siwezi kumlea tena muda wake umekwisha apishe nafasi imebaki kwa wadogozake tu.
Mlee tu mtoto na mjukuu .. kila binadamu uja na liziki yake huwezi jua huyo mtoto atakuwa nani maishani mwake inawezekana akawa ndio tegemeo lakoWapendwa naombeni msaada wa kisheria
Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni. Nikamuelezea mwalimu wake wa darasa akadai akapime kujiridhisha akapewa Mwalimu wa kike majibu yakaja nimjamzito.
Akafuatwa yule kijana akahojiwa na mwl. Baba wa mtuhumiwa akapiga simu kwa mwl yakumtaka amtoroshe mtuhumiwa na mwl akalitekeleza hilo mpaka sasa mtuhumiwa hayupo nimebaki na binti yangu tu nyumbani sielewi pakuanzia naombeni msaada wa kisheria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa ila ningekuwa mimi nampeleka kwa baba yake na kijanaLengo aje akili kuwa ni yy kweli nimkabizi mkewake waendelee na maisha yao m siwezi kumlea tena muda wake umekwisha apishe nafasi imebaki kwa wadogozake tu.
Huna adabu wewe!!!!Kiuhalisia wote ni watoto na hakuna kesi hapo.
Mawazo ya kitotoWazazi mlitakiwa kuja pamoja na kuangalia namna ya kusapotiana katika kuwavusha watoto hapo
Kama mzazi mwenzako kakususia kina hatua za kuchukua ila mimi nakushauri kwa heshima ya familia yako na afya yako ya akili,mbebe mwanao,msimamie ajifungue salama kisha arudi shule. Haimaanishi kwamba binti yako ni mtu wa hovyo sana..sote tumepitia teenage na tunajua tulinusurika kwa kudra tu
Mimi ni mwalimu kwa hiyo nimekua nikidili na hizi incident mara nyingi....
Ukatili mkubwa huoLengo aje akili kuwa ni yy kweli nimkabizi mkewake waendelee na maisha yao m siwezi kumlea tena muda wake umekwisha apishe nafasi imebaki kwa wadogozake tu.