Msaada: Binti yangu kapewa ujauzito na Mwanafunzi wenzake na amekimbia

Huko unakoishi hakuna dawati la jinsia?
 
Watoto wa kike hasara sana.,,sasa fanya jukumu moja ambola huna namna

Mtafutie huyu kijana wa kiume,sambamba na kufanya mazungumzo na huyo dingi mwenzie ...wa kiume mpelekeni veta pia mununulie bodaboda au mumpe mtaji muwapangishie chumba waanze maisha yao huku bint yako akiwa mama na huyo dogo akiwa baba,hakikisheni mmewalipia kodi ya kuanzia mwaka mzima
 
Zungumza na wazazi wa huyo kijana, muwaandalie hao vijana maisha ikishindikana kama hiyo mimba siyo kubwa fanyeni mpango muitoe, binti aendelee na masomo
 
Mwache azae, atarudi tena shuleni.
Kijana wa watu (mkweo) muache apate elimu huenda atakuja kuwa baba bora wa mjukuu wako.

Halafu kwanini hizi kesi zinajitokeza baada ya binti kupata ujauzito? Walifanya mara ngapi? Alimbaka??
Yaani wengine utakuta 'wamezoeana' ila baada ya ujauzito ndipo kesi zinaibuliwa
 
Ila watoto wa kike duh, tena ukute ajielewi miaka 16 anawaza dushe tu, sasahivi unavikuta vianafunzi vitoto vinapenda mapenzi kama nini!
 
Mm ningemfukuza huyu binti nyumbni na nisingetaka kumuona ngombe huyu akatafute kwake!

Mtoto wako wa kumzaa utamfukuza aende wapi?
Kwani kaua mtu au kapata mimba tu? Unajua thamani ya mtoto wewe au unasema kirahisi tu eti umfukuze
 
Pa kuanzia ni huyo bint yako kuhudhuria krinik mapema ili kuimarisha Afya yake kwa ushauri wa wataalam.

Pole Sana mkuu
 
Lengo aje akili kuwa ni yy kweli nimkabizi mkewake waendelee na maisha yao m siwezi kumlea tena muda wake umekwisha apishe nafasi imebaki kwa wadogozake tu.
Mimba sio kosa, huyo ni mwanao

Usimharibie maisha
 
Mlee tu mtoto na mjukuu .. kila binadamu uja na liziki yake huwezi jua huyo mtoto atakuwa nani maishani mwake inawezekana akawa ndio tegemeo lako
 
Aanze clinic Mapema ya Mama na Mtoto ili Apate kujifungua salama.
 
Lengo aje akili kuwa ni yy kweli nimkabizi mkewake waendelee na maisha yao m siwezi kumlea tena muda wake umekwisha apishe nafasi imebaki kwa wadogozake tu.
Hapo sawa ila ningekuwa mimi nampeleka kwa baba yake na kijana
 
Kiuhalisia wote ni watoto na hakuna kesi hapo.
Huna adabu wewe!!!!
Mawazo ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…