Kwa mujibu wa maelezo yake hii ni mimba ya tatu, mbili zilizotangulia alikuwa anatoa kwa njia ya vyuma na alikuwa akibleed siku chache tu,hii ya Sasa inamtesa kwasababu alimeza vidondehana jinsi mkuu sraeli mtoa roho ameshakariabia na kwake ni dhambi kubwa sana kutoa mimba ni sawa na kuua mtu
Vidonge
Ni bora hiyo mimba asipate tena na laana hiyo imuandame kila atakapojisikia kulea kama dada ubaya.Tarehe 06/06/2019 usiku mimba ya miezi mitatu iliporomoshwa kwa maksudi,mporomoshaji alikuwa akibleeda kwa maumivu makali sana,siku sita baadae akaenda hospitalini kusafishwa,baada ya hapo damu ikakoma ukawa unatako uchafu tu , hiyo hali imeendelea mpaka jana ambapo nikamshauri mporomoshaji aende tena hospital,kaenda hospital kachomwa sindano (sijui ni aina gani) masaa machache baada ya kuchoma sindano bleed imerudi kwa kasi ya ajabu,je hii hali ni kawaida?wasiwasi wa mporomoshaji ni kutopata mimba tena,je afanye nini ili asije akapata ugumba?
Uko sahihi naungana nawewe ,akija kupata amshukuru sana Mungu na asipopata ashukuru pia kwa kuuwa mara tatu halafu yeye akiendelea kuishi,wapo ambao walipoteza maisha baada ya kutoa mimba moja tuNi bora hiyo mimba asipate tena na laana hiyo imuandame kila atakapojisikia kulea kama dada ubaya.
oNasema Afe