Msaada,bleed wiki mbili mfululizo

Msaada,bleed wiki mbili mfululizo

Jan-uary

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
984
Reaction score
1,058
Tarehe 06/06/2019 usiku mimba ya miezi mitatu iliporomoshwa kwa maksudi,mporomoshaji alikuwa akibleeda kwa maumivu makali sana,siku sita baadae akaenda hospitalini kusafishwa,baada ya hapo damu ikakoma ukawa unatako uchafu tu , hiyo hali imeendelea mpaka jana ambapo nikamshauri mporomoshaji aende tena hospital,kaenda hospital kachomwa sindano (sijui ni aina gani) masaa machache baada ya kuchoma sindano bleed imerudi kwa kasi ya ajabu,je hii hali ni kawaida?wasiwasi wa mporomoshaji ni kutopata mimba tena,je afanye nini ili asije akapata ugumba?
 
huo ndiyo mshahara wa dhambi mwache ale alichokipanda utatoaje mimba ajue kuwa ameua nae asubiri kufa tu haina jinsi
Inauma sana,inauma mno [emoji26][emoji26][emoji26]
Alifanya kwa hasira Sasa hivi anajuta
 
Inategemea na njia aliyotumia kuporomoshea hiyo mimba. Muone daktari kwa ushauri zaidi.
 
Inategemea na njia aliyotumia kuporomoshea hiyo mimba. Muone daktari kwa ushauri zaidi.
Vidonge,Jana aliporudi hospital akachomwa sindano ambayo imemrudisha kwenye bleed ya mwanzo
 
hana jinsi mkuu sraeli mtoa roho ameshakariabia na kwake ni dhambi kubwa sana kutoa mimba ni sawa na kuua mtu
Kwa mujibu wa maelezo yake hii ni mimba ya tatu, mbili zilizotangulia alikuwa anatoa kwa njia ya vyuma na alikuwa akibleed siku chache tu,hii ya Sasa inamtesa kwasababu alimeza vidonde
 
hao wanatakiwa wale wanavyopanda acha apate tabu sanaaaa ameua mtoto huyo
Uko sahihi, haiwezekani ugomvi mdogo tu na mtu wako unakurupukia kwenda kutoa mimba
 
1. Pumbavu zake (nimeongea ka mtu wa kijiweni)

2. Professionally: Mrudishe hospitali haraka, apewe dawa za kuzuia breeding na afanyiwe fluid replacement as akiendelea kuvuja damu ataathiri mifumo mingine ya mwili.

Kuhusu ugumba, kama kasafishwa vzr atakuwa vzr, bt kama mji wa mimba umevurugwa hiyo ni case gynecologist atamfanyia uchunguzi na kutoa ushauri vzr.

Nasisitiza, acha kuandika posts hapa, mpeleke hosp haraka!
 
Tarehe 06/06/2019 usiku mimba ya miezi mitatu iliporomoshwa kwa maksudi,mporomoshaji alikuwa akibleeda kwa maumivu makali sana,siku sita baadae akaenda hospitalini kusafishwa,baada ya hapo damu ikakoma ukawa unatako uchafu tu , hiyo hali imeendelea mpaka jana ambapo nikamshauri mporomoshaji aende tena hospital,kaenda hospital kachomwa sindano (sijui ni aina gani) masaa machache baada ya kuchoma sindano bleed imerudi kwa kasi ya ajabu,je hii hali ni kawaida?wasiwasi wa mporomoshaji ni kutopata mimba tena,je afanye nini ili asije akapata ugumba?
Ni bora hiyo mimba asipate tena na laana hiyo imuandame kila atakapojisikia kulea kama dada ubaya.
 
kuna sister mmoja anaitwa Dr Biligita sijui kama yupo bado alikuwa ndanda mission ni mnzuri kwa hizi kesi ili mradi useme ukweli nini alifanya vinginevyo madaktari wasipokuwa makini anaweza akatolewa kizazi
 
Ni bora hiyo mimba asipate tena na laana hiyo imuandame kila atakapojisikia kulea kama dada ubaya.
Uko sahihi naungana nawewe ,akija kupata amshukuru sana Mungu na asipopata ashukuru pia kwa kuuwa mara tatu halafu yeye akiendelea kuishi,wapo ambao walipoteza maisha baada ya kutoa mimba moja tu
 
hapana bado ananafasi ya kufanya toba na kuomba msamaha kumbuka hata yeye ameubwa pia kwa mfano wa MUNGU. Huwezi amini kwa uzi huu wako wanawake wamehahilisha kutoa mimba kwa hiyo ameokoa maisha ya watoto wengi zaidi kwa kosa moja.
tusimuhukumu bali tuombe huruma ya MUNGU amponye na awe shuhuda kwa wengine.
Nasema Afe
o
 
Back
Top Bottom