Tatizo Lugha unayotumia, Adsenste huwa hawa support kiswahili hivyo hapo ni ngumu kupata na hata ukipata kufungiwa nirahisi. Kama unahitaji adsense badili lugha.Wakuu nimejaribu mara nyingi kutaka ku-link Blog yangu na Google AdSense lakini nimechemka, kwa wazoefu, shida inaweza ikawa nini?
Blog hii hapa
Swahili 360 | Welcome
Pia ninatumia Newspaper Template ya WordPress inaniambia ni-activate Theme, si mtaalamu sana wa hizi kitu, naanzia wapi?
Msaada tafadhali, najua jukwaa hili siwezi kukosa solution
Hapo ni Lugha mkuu, anza moja na hakikisha unaandika original contentsMkuu, kwa hiyo ni lugha tu, hakuna kingine? Mfano labda Traffic etc
KaribuNashukuru sana mkuu. Nitaleta mrejesho
Swali langu moja mbona matangazo mengine Yana gomaMrejesho: Blog sasa imekubali ku-display google ads baada ya ushauri wenu wadau
cc Sijuti, Healer2
Mkuu pm mbona umezima nashida na hiyo themeukitaka newspaper mpya activated theme premium nicheki pm kwa 5000 tu. nakupa na yoast SEO premium.
Mkuu pm mbona umezima nashida na hiyo theme
Hebu jaribu kuni pm Mkuunimewasha angalia tena
Mkuu shukrani sana umenipigia kazi kwa Uaminifu mkubwa sana na bila ubabaishaji(Out of topic) Pia kwa mwenye blogger namuwekea theme kali kwa 5000 tu customizations/ Optimization ifunguke faster, AMP pia kama atapenda, Rating Star snippets pamoja na kumuwekea adsense ads yake chini ya post/popote ili mtonyo uingie vizuri.
Mkuu shukrani sana umenipigia kazi kwa Uaminifu mkubwa sana na bila ubabaishaji
Ukitumia account za zamani hawafungi ila hizi mpya mzee wanazizima kinyama haswa ikiwa mpya alafu ina share links mara kwa mara at least iwe na miez iv kama sijakoseaMi naomba kujua namna nzuri ya kushare facebook maana akaunti zinakuwa blocked sana wakuu.
Inawezekana aisee maana nina akaunti mbili hizo huwa azifungwi zinaishia kuwa banned kwa mda alafu zinaachiwa.Ngoja ntafute za zamani.Ukitumia account za zamani hawafungi ila hizi mpya mzee wanazizima kinyama haswa ikiwa mpya alafu ina share links mara kwa mara at least iwe na miez iv kama sijakosea