MSAADA: Blog yangu inagoma kuunganishwa kwenye Google Adsense

MSAADA: Blog yangu inagoma kuunganishwa kwenye Google Adsense

(Out of topic) Pia kwa mwenye blogger namuwekea theme kali kwa 5000 tu customizations/ Optimization ifunguke faster, AMP pia kama atapenda, Rating Star snippets pamoja na kumuwekea adsense ads yake chini ya post/popote ili mtonyo uingie vizuri.
Mkuu naona umefunga PM, ni PM tufanye kazi
 
Nashukuru sana mkuu. Nitaleta mrejesho
This Guy still ana safari ndefu sana kama kweli kinacho mkwamisha ni Language anayotumia na Bado hata aki-change writing language Kuna challenge ya Spelling Errors Mwambie atumie Programu Such as Grammarly na Ginger Writing Checker Zote Available in the Google Play Store Market and App Store..?
 
Back
Top Bottom