Msaada: Blog yangu inanipa ujumbe nisio uelewa

Izy_Name

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
772
Reaction score
1,733
Site ni mpya nimenunua domain name kutoka godaddy ndo mara ya kwanza naiweka google search console nakutana na huu ujumbe.

Maelekezo ya Youtube nimeyafuatilia lakini hayafanyi kazi naitaji msaada.

CV.PNG
 
umeabiwa your url will be indexed only when certain conditions are met alafu kwenye certain conditions kuna link; umejaribu kucheki hio link inasemaje
 
Nimesoma maelezo yote lakin hola bahati mbaya google hailezei tatizo personal
 
Site ni mpya nimenunua domain name kutoka godaddy ndo mara ya kwanza naiweka google search console nakutana na huu ujumbe.

Maelekezo ya Youtube nimeyafuatilia lakini hayafanyi kazi naitaji msaada.

View attachment 2524304
Mpaka leo bado mnahost na godaddy.

Hakuna shida Google komaa na uko ulikoosti
 
Back
Top Bottom