Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Body spray. kwani ananuka kikwapa na kwann umnunilie ww?Nisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Blue ladyNisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
NashwaNisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama anataka amletee kama zawadiMpe mke wako hela akanunue mwenyewe wanazijua perfume zao
[emoji1] [emoji1] anaeza akarudishwa nayo akaambiwa hii siipendiJe kama anataka amletee kama zawadi
Hahahaha uyo mwanamke atakua hana shukrani[emoji1] [emoji1] anaeza akarudishwa nayo akaambiwa hii siipendi
[emoji23] [emoji23] perfume zingine unaeza ukanunua we unaona inanukia vizuri ukiipeleka unaambiwa inanukia mandaziHahahaha uyo mwanamke atakua hana shukrani
Au hata ugoro[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] perfume zingine unaeza ukanunua we unaona inanukia vizuri ukiipeleka unaambiwa inanukia mandazi
Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Try ESCADA hutajutia...Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Weelie