Msaada body spray nzuri kwa wanawake

Msaada body spray nzuri kwa wanawake

bonge moja ya spray matata,haijawah tokea. Toka nimeanza itumia sijawah iacha.yaan ni ndogo lkn harufu haiishi,ata ukifua nguo.

mimi huwa sina haja yakutumia pafume,Elope ni pafume tosha,..
Kwa dar naweza ipata wapi?
Wewe ni mtu kama wa tano nasikia anaisifia sana hii spray. Nataka na mimi niijaribu
 
Bangi hizo
Sijui unaishi dunia ya ngapi. Hapo ulipo ingia duka lolote la vipodozi, halafu utanipongeza na bangi zangu.
.
.
Bado Jf pekee kutoa brand yake.
 
Back
Top Bottom