Mangi wa Rombo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 207
- 148
Ground floor plan ni 3m x 3m au 6m x 3m?Habari!
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi
Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp number tuwasiliane tufanye kazi!
Ahsante
N:B Pia kama kuna fundi anayeweza kujenga mnara huu na yupo Dar es Salaam, anaweza nicheki pia
View attachment 3653450View attachment 3653452View attachment 3653453View attachment 3653455View attachment 3653456View attachment 3653458View attachment 3653459View attachment 3653461View attachment 3653462
3M x 6MGround floor plan ni 3m x 3m au 6m x 3m?
Nimekucheki whatsapNjoo nikuandalie BOQ Kwa elfu 50k peke yake
Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S
Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo
Tiles installation
Epoxy resin
Plasta ya kiwango Bora
Tunapaua PAA za aina zote
Marekebisho ya ramani za aina zote na michanganuo ya ramani zote (UTALIPIA ELFU 20)
TUnakushauri kuhusu ujenzi na finishing Bure kabisa!
Site plan (RAMANI) tunatoa Bure...
Call : 0789005562
Nicheki Whatsapp 👇👇
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.me
Jiunge na group letu upate update kila siku
Kwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...Habari!
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi
Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp number tuwasiliane tufanye kazi!
Ahsante
N:B Pia kama kuna fundi anayeweza kujenga mnara huu na yupo Dar es Salaam, anaweza nicheki pia
View attachment 3653450View attachment 3653452View attachment 3653453View attachment 3653455View attachment 3653456View attachment 3653458View attachment 3653459View attachment 3653461View attachment 3653462
Ni eye sore lakini kwa maji ya Dar haina mbadala wa kuaminika. Tank la chini au underground linahitaji pump.Kwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...
Probability ya pump kuzingua ni negligible. Nina pump zaidi ya miaka 15 sijabadili. Halafu unaweka tanki dogo kama lita 500 kwenye dari na lina overflow pipe ambayo inatoka nje. Kama hutaki kuweka kwenye dari, jengea nje. Hitilafu ya umeme sio issue sana kwani una backup ya lita 500. Hizo tank unazoweka zinadai pressure kubwa ya DAWASCO ili yaingie wakati underground tank hata kama pressure ndogo yataingia. Hivyo waweza kukosa maji pamoja na kwamba yanatoka. Faida ni kubwa kuliko gharama.Ni eye sore lakini kwa maji ya Dar haina mbadala wa kuaminika. Tank la chini au underground linahitaji pump.
Pump itakupa pressure nzuri kuliko mnara lakini inaongeza another point of failure. Kama kuna hitilafu ya umeme au pump yenyewe umebaki na ndoo na maji ya kuchota.
Matank ya chini (underground tank) Yanagharama kubwa Tofauti na matank haya anayotaka kujenga! Ukiacha gharama za ujenzi kuwa kubwa lakini pia kuyatunza ni gharama nyingine na pia inahitajika pump ya kupandisha MAJI juuKwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...
Sijawahi kufikiria juu ya hili. Nitalifanyia research kujua faida na hasara zake labda kwenye ujenzi mwingine nita consider hii option. Kwa sasa nilipendelea mnara kutokana na project yenyewe! Ni sehem najenga apartments na zitakuwa na ghorofa moja so nilishauriwa kuweka mnara just in case hata pump ikizingua unatumia gravity kupata maji unlike chini inabidi uwe na pump all the timeKwa nini usijenge underground tank? Nafikiri design hii ni eye sore na inakula eneo la kiwanja. Mawazo yangu lakini...
Hapo atakosa maji pamoja na kuwa maji yanatoka kwani pressure ya maji huwa ndogo. Gharama ya kujenga underground tank sio kubwa. Wewe unafikiri atatumia kiasi gani kujenga hilo tower?Matank ya chini (underground tank) Yanagharama kubwa Tofauti na matank haya anayotaka kujenga! Ukiacha gharama za ujenzi kuwa kubwa lakini pia kuyatunza ni gharama nyingine na pia inahitajika pump ya kupandisha MAJI juu
Mkuu, hivi hiyo underground tank inakuaje kuaje? Yani Tank unazifukia chini au inakuaaje apooHapo atakosa maji pamoja na kuwa maji yanatoka kwani pressure ya maji huwa ndogo. Gharama ya kujenga underground tank sio kubwa. Wewe unafikiri atatumia kiasi gani kujenga hilo tower?
Huzifukii tanki unajenga kama septic tank ila inakuwa imara zaidi unasiliba chini na kuweka tiles na kama una uwezo hata kwenye kuta unaweka tiles, na juu unaweka zege imara gari ikipaki pale halibomoki. Unaweka kifuniko kama cha septic tank, you're done. Tanki la chini laweza kuwa kubwa sana hata lita 10,000. Likiwa imara juu waweza kuweka pavement na mtu hajui kama kuna tanki chini.Mkuu, hivi hiyo underground tank inakuaje kuaje? Yani Tank unazifukia chini au inakuaaje apoo
Nashukuru kwa ElimuHuzifukii tanki unajenga kama septic tank ila inakuwa imara zaidi unasiliba chini na kuweka tiles na kama una uwezo hata kwenye kuta unaweka tiles, na juu unaweka zege imara gari ikipaki pale halibomoki. Unaweka kifuniko kama cha septic tank, you're done. Tanki la chini laweza kuwa kubwa sana hata lita 10,000. Likiwa imara juu waweza kuweka pavement na mtu hajui kama kuna tanki chini.
Ahsanteni wote mlionicheki! Nimefanikiwa kupata BOQ na fundi pia! Ahsanteni! Nitawapa picha ujenzi ukikamilika!!
Gharama yake ipoje?Huzifukii tanki unajenga kama septic tank ila inakuwa imara zaidi unasiliba chini na kuweka tiles na kama una uwezo hata kwenye kuta unaweka tiles, na juu unaweka zege imara gari ikipaki pale halibomoki. Unaweka kifuniko kama cha septic tank, you're done. Tanki la chini laweza kuwa kubwa sana hata lita 10,000. Likiwa imara juu waweza kuweka pavement na mtu hajui kama kuna tanki chini.