Andymswati
New Member
- Oct 26, 2018
- 2
- 1
Habari,
Naomba msaada wa kimawazo, Boss wangu hataki kunipa mkataba wa Ajira ijapokua nafanya kazi kwa sasa nina mwaka na miezi mitatu, la kila siku nikimkumbusha anaahidi uongo.
Ni company private. Nataka kuchukua maamuzi ya kuacha kuja kazini hadi pale atakapo nipatia mkataba huo.
Ni sahihi? Maana overtime analipa anavyojisikia yeye na haki zingine kama per diem nikisafiri huwa ananipa kwa matakwa yake.
Naombeni ushauri ndugu.
Nifanyeje?