Msaada:Brand name kwa ajili ya Saluni yangu ya kiume

Kwa hiyo kuja kuomba msaada hapa ndio umehitimisha kuwa kashindwa na sio hatua kuelekea kwenye ushindi?
Business strategy anaonekana hana...hujui hata biashara unataka iitweje? COME ON!!
Kuanzisha kitu inahitaji uae na vision sasa kama vision ya hapo kashnidwa i have doubtsna huko mbeleni..Sivunji mtu moyo ila it is ridiculous mtu kuja kuomba jina la kampun/biashara yake. Msilojua jina huwa linamuwakilisha mfanya biashara na biashara yenye.
Brand name ndo linaleta identity yako na biashara yako sasa kama hiyo identity haijui anaomba from total stranger wampe huoni kama ni ajabu???
 
Nakushauri mpandie dau kinyozi maarufu wa huo mtaa, umuibe ili akupigie kazi, utafaidi sanaaaa,

Na pia awe mwaminifu,, kuhusu wale wadada wa scrub pia mwachie kinyozi aweke yeye,,

Ila pia usiingilie majukum yao,, we tulia uletewe kipande chako kwa wiki,,

Usipokee pesa mkononi,, fungua acc bank wawe wanaweka huko pesa yako. Gharama za umeme na maji wawe wanalipa wao,, misosi iwe chini ya kinyozi mkuu,,

Hapo kazi itaenda,, na usipende kwenda hapo.

Brand name usiweke kwanza,, waache wateja watoe neno wao au vinyozi ndio watoe neno,

Wewe uwe ubaki na umiliki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…