dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
😂 😂 😂 😂danga barbershop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂danga barbershop
Business strategy anaonekana hana...hujui hata biashara unataka iitweje? COME ON!!Kwa hiyo kuja kuomba msaada hapa ndio umehitimisha kuwa kashindwa na sio hatua kuelekea kwenye ushindi?
Saloon? Kwani kasema anataka kununua gari? Au hujui tofauti ya salon na saloon?La kuchumpa la kuparama barbershop
Paranaweee Saloon
Ila ni Jiko, au?Kwa wakiume sio salun mkuu
Nakushauri mpandie dau kinyozi maarufu wa huo mtaa, umuibe ili akupigie kazi, utafaidi sanaaaa,Habari zenu wadau wa jukwaa Hili.
Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Barber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake.
Sasa Kama unavyojua Biashara yoyote inahitaji brand name,hapa ndo nahitaji msaada wenu.
Jina liwe katika lugha yoyote ile ilimradi liwe rahisi kulitamka na kupendeza.
Karibuni.
Ntajulia wapi wkt elimu yangu ni kama ya kubenea ya hapa na pale.Saloon? Kwani kasema anataka kununua gari? Au hujui tofauti ya salon na saloon?
Hakuna mtu anaekamilika kila sehemu hata uwe mjanja vipiAnguko lako ndo linaaanzia hapa...kama eshindwa kuwa na vision ya brand name yako tu huko mbele utapaweza?
Ukishapata nishtue nikutengenezee logo