Msaada cement ya Dangote Dar es salaam

Kwani ukiacha hii ya Dangote tunayoitegemea,
Cement ya bei ya chini kabisa sokoni sasa hivi ni ipi?Na bei yake ikoje?
 
Kwa anaejua bei ya jumla ya cement kwa Tanga mjini atuhabarishe tafadhali.
 
Wakuu,

Naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata cement ya dangote kwa bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam.

Ni vyema pia kama utanipatia na bei yake kwa jumla.

Ahsanteni.
Mkuu kama bado unahitaji dangote cement nicheki nit@kuletea kwa bei nafuu na ninatoa na VAT receipt
 
SERIKALI YA BONGO CEMENT YA DANGOTE ITAUZWA 7000 LEO TUNAAMBIWA 11000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…