Bei gani kwa hapa mjini? nataka mifuko 120 sijui hiyo ni tani ngapi wana mahesabu,
Tani 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani kwa hapa mjini? nataka mifuko 120 sijui hiyo ni tani ngapi wana mahesabu,
Kwani ukiacha hii ya Dangote tunayoitegemea,
Cement ya bei ya chini kabisa sokoni sasa hivi ni ipi?Na bei yake ikoje?
Mkuu kama bado unahitaji dangote cement nicheki nit@kuletea kwa bei nafuu na ninatoa na VAT receiptWakuu,
Naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata cement ya dangote kwa bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam.
Ni vyema pia kama utanipatia na bei yake kwa jumla.
Ahsanteni.
Kwa bei gani kwa mfuko utaniuzia?Mkuu kama bado unahitaji dangote cement nicheki nit@kuletea kwa bei nafuu na ninatoa na VAT receipt
Nicheki +255625772575 kwa beiKwa bei gani kwa mfuko utaniuzia?