Msaada: Chakula kinachoongeza uzalishaji wa mbegu za kiume

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,711
Wataalam wa tiba naomba msaada wenu wa kunijuza chakula kinachoongeza wingi wa mbegu za kiume maana huwa natoa mbegu kidogo sana.

Nafanya ngono almost kila siku, najua hiyo inachangia kupelekea mbegu kua chache,sasa naomba kujua ni chakula gani kinasaidia kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume. Sitaki kupunguza kufanya ngono ili nizipe muda wa kuongezeka ila nataka nijue ni jinsi gani naweza kuziongeza bila kustop ufanya ngono.

Natanguliza shukrani.
 
Maboga, mbengu za maboga, tende+maziwa, karanga,
 
Vyakula vyote vya fati na Protini ukivila pamoja na Asali(Mf karanga kula pmj na Asali kila Asubuhi na jioni)uongeza uzalishaj Wa mbegu,Ashki/nyege pmj na nguvu za kiume
 
Ni unafanya ngono kila siku au unapiga puchu kila siku?
 
​kama unaweza kunywa sana togwa na pombe ya macholo yale machicha yanasaidia
 
Pole kwa hayo matatizo ukikosa hapa msaada nitafute mimi Dawa ninayo ukiweza kunitafuta mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 

Konyagi + Nyamanyama
 
Pumpkin seeds ama chakula yoyote iko na zinc...unaeza tafta zinc supplents pia...sanasana fruit seed ziko na zinc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…