Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,711
Wataalam wa tiba naomba msaada wenu wa kunijuza chakula kinachoongeza wingi wa mbegu za kiume maana huwa natoa mbegu kidogo sana.
Nafanya ngono almost kila siku, najua hiyo inachangia kupelekea mbegu kua chache,sasa naomba kujua ni chakula gani kinasaidia kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume. Sitaki kupunguza kufanya ngono ili nizipe muda wa kuongezeka ila nataka nijue ni jinsi gani naweza kuziongeza bila kustop ufanya ngono.
Natanguliza shukrani.