Wakuu msaada please najaribu cheki chanel ya azam Sport wanaonyesha Yanga na uchafu gani sijui, Azam sport HD wanaonyesha Madrid na Barca. Nisaidie jamani washkaji wanakuja geto kucheki hafu naona kama hawataonyesha. Kama hawaonyeshi nikimbie Kibanda umiza na masela.