Msaada: Chaneli gani inaonyesha mechi leo king'amuzi cha Azam?

Msaada: Chaneli gani inaonyesha mechi leo king'amuzi cha Azam?

Mockingbird

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
434
Reaction score
1,043
Wakuu msaada please najaribu cheki chanel ya azam Sport wanaonyesha Yanga na uchafu gani sijui, Azam sport HD wanaonyesha Madrid na Barca. Nisaidie jamani washkaji wanakuja geto kucheki hafu naona kama hawataonyesha. Kama hawaonyeshi nikimbie Kibanda umiza na masela.
 
Me nastream live pitia YouTube mkuu
Vpn ndo mkombozi leo
 
Back
Top Bottom