Msaada changamoto ya kujiunga x Twitter

Msaada changamoto ya kujiunga x Twitter

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Wasalaam pana Page naitafuta kwenye app ya x Twitter napata changamoto kujiunga au mwenye Twitter anisaidie jinsi ya kujiunga maana napata mapicha picha nikitaka kujiunga mara sijui your not robot nk.
Au mwenye Twitter nimpe page anisaidie kuisearch.
 
Clear hiyo picha ya utambuzi kama we kweli ni binadamu na sio robot
 
Back
Top Bottom