msaada cheti kimepotea

msaada cheti kimepotea

incharge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
5,017
Reaction score
8,442
ndugu zangu nimepoteza cheti changu cha form four , je kuna njia gani naweza kufanya ili nipate kingine
 
4m4 yako ni ya mwaka gani? Af hicho cheti unakihitaji haraka (i mean unataka ukitumie kwa sasa) au unatakatu ukitafute uwe nacho??
 
Kwa kawaida hakuna mbadala wa cheti, ila toa taarifa NECTA watakuandalia document inayoitwa Statement of Results in case kama kuna taasisi inayohitaji taarifa zako NECTA wenyewe watawasilsha huko kunakohitajika.
 
Back
Top Bottom